Soko la Karume limeungua moto

Upuuzi wetu wtzednia, yaani tunaona kabisa srkl hii iko kwa ajili ya matumbo yao, lakini bado tunawachekea, Acha kila mmoja aguswe ndipo sasa tuamke.
Umeongea wisdom..yaan vitu viko vivid kabisa ila watu hawana habar..yaan had wanateuliwa watu wenye question marks kichwan na wenye tetes mbaya ila tupo tuu nasisi tunacheza mzik ule ule. ..tozo tunatupiwa tu. .leo hii kesho ile..ila tuko kimyaa tu...aisee..kwel watawala wa nchi hii wanatupepeta kama mchele..duh
 
Hiko chanzo chako cha habari kimewai msifia kiongoz gani wa afrika?
Kwani hao viongozi wa Afrika wamefanya yapi ya maana hadi wasifiwe?

Hawa ndiyo unataka wasifiwe?!👇🤡🤡🤡
Your browser is not able to display this video.
 
Nakwel..waacha matukio yaendelee had tutie akil
 
Duh kila Zama na kitabu Chake! Zama hizi ni kuwakomesha masikini.
Ukiangalia kwa makini hizi lawama tujipe sisi wenyewe maskini. Ndio majority kwa nchi nyingi Africa na yet ndo wanafiki kupitiliza .

Ni sisi maskini ndo huwa tunawaeka madarakani viongozi , na viongozi hao hao wanakuja kuwa watesi wetu na akili hazitukai sawa .

Ccm ngome zake kuu ni sehemu ambazo umasikini umetamalaki , hujapata clue ?

We blacks inawezekana tumekuwa wired differently kwenye kutumia common sense
 
Kwan kuna mtu nmemdirectia lawama ? me nakuambia ww kama wangechoma ofisi yako ndo ungepata akili
Sawa,umeunguziwa kutokana na mauzembe +mazingira ya hapo
Kamati imeundwa,what's next????

Ova
 
Huu Moto umesetiwa Kia's kwamba Ni ngumu kuuzima

Mazingira ya karume Ni rahisi Sana kuzima Moto tofaut na k'koo au pengine.

Bila shaka
Ilishamwagwa petroli kuzunguka soko lote,Moto unazunguka afu unakutana katikati.

Hapo huokoi chochote
Pale huwa watu wapo. Petrol harufu ingesikika, vitu vya Karume vyenyewe tu ni petrol
 
Hawajali wenyewe uchumi uwe mzuri au udorore. Kwasabab Wana mabilion waliyoiba na kuyaficha. CDF tu ukuta wa merirani kalamba 450 m USD.

Sky Eclat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…