Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Sasa kitu gani kikingine kingeunguza soko badala ya moto...Kiswahili lugha ngumu..badilisheni kichwa cha habari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona tu post yangu. Post za wanaomlaumu Samia haujaziona.. mimi nilikuwa nawajibu hao waliokuwa wanamlaumu Samia kwa huu moto.We Jamaa unakeraa!
Issue inayoongelewa hapa ni moto,wewe unaibuka na Magufuli kwani Yeye ndo kautuma huo moto??
Hivi ni Lini atatoka midomoni kwenu?? Hakuna Mwanadamu alie perfect,hata wewe una mabaya YAKO mengi sana!! Kama alikuumiza,mfate huko huko kaburini ukamueleze!!! Mwanaume rijali alie timamu na Akili zake hana malalamishi ya kulia lia na mambo yaliyopita.
Niangalie😏
Umeona tu post yangu. Post za wanaomlaumu Samia haujaziona.. mimi nilikuwa nawajibu hao waliokuwa wanamlaumu Samia kwa huu moto.Wewe inaonekana mpenda kulalamika sana hata ukivimbiwa zako utamlaumu Jpm
Mkuu kwani karume waliambiwa waondoke?kuna uzi niliandika hapa mood aliufuta. na kuna watu wakakejeli au kuona kama na sanifu.
sehemu iliyo ni soko ukiona mnabisha kutoka au kupangiwa sehemu nyengine!.
ndugu chukua chako kabla ujala hasara.
na waeleza kama mnavoona maisha ya kila siku mfano nyuma ya pazia
Tangu Magu atwaliwe kuzimu kabla ya siku yake umekuwa wa kukosoa vitu vidogodogoSasa kitu gani kikingine kingeunguza soko badala ya moto...Kiswahili lugha ngumu..badilisheni kichwa cha habari
Vyanzo vya moto vingi husababishwa na hawa mama lishe, sasa unakuta mtu anaondoka anaacha jikoni maharage yanachemkaKariakoo panakarabatiwa, pakiisha watarudi wenyewe. Sishawishiki kuamini km yanachomwa
Funga mdomo wako kama hujui mambo. Nani alikwambia jpm alikuwa kwenye orodha ya kuwa raisi? Jpm aliwekwa kama zima moto baada ya kuona moto wa lowasa hawauwezi. Jpm aliingia kuokoa jahazi, mkapa ndo alipendekeza jina lake ila kumbuka wale watu walikuwa na jina jingine.Mumlaumu JPM kwa kumweka mama kuwa makamu wa rais na Rais Mtarajiwa. Kama mlimheshimu JPM.. Mheshimuni na Mama pia. Ni chaguo la kipenzi chenu JPM. Kaeni kimya kabisa sababu hapa tulipo ni MAKOSA YA JPM tokea awali.. kila kitu cha nchi hii KILICHOVURUGIKA NA KINACHOVURUGIKA NI SABABU YA JPM aka Mwendazake
Kariakoo panakarabatiwa, pakiisha watarudi wenyewe. Sishawishiki kuamini km yanachomwa
Point ni kwamba sio kila tatizo linalofanywa na ccm basi tuseme suluhisho ni kufikiria kuitoa ccm madarakani kitu ambacho hadi sasa hatujakiweza kukifanya, mambo mengine tunaruhusu kuendelea kufanywa na hao ccm kwa sababu ya ujinga wa watanzania sasa hata kama kikija chama chengine ikiwa bado huu ujinga upo basi lazima matatizo yataendelea kutokea tu.CCM wanapaswa kulaumiwa kwa kuwa ndiyo wanachoma haya masoko na kuhamasisha ufisadi.
Kusema kuwa hakitakuja kutokea chama ambacho ni kikamilifu siyo sahihi kwa sababu hatuna ushahidi na hilo.
Lakini kuwaita CCM kuwa ni mashetani na waharibifu wa nchi hii ni sahihi kabisa kwa sababu tuna ushahidi wa wazi kabisa wakihamasisha ufisadi katika nchi hii.View attachment 2083360
Wakikarabati wasiweke tena ule uchafu wa mabati na mirundaUkarabati ushaanza?
Kweli mkubwa, zamu ya choka mbaya kutubu 😅Duh kila Zama na kitabu Chake! Zama hizi ni kuwakomesha masikini.