Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Nafikiri wapelekwe ugogoni kuna maeneo mengi ya wazi tu yatawafaa huko😅Kitunda ndege zikiwa zinatua na watalii, Wamachinga wataonekana. Itafaa wamachinga wote nchini wahamishiwe Nkasi Rukwa