Soko la Karume limeungua moto

Kariakoo panakarabatiwa, pakiisha watarudi wenyewe. Sishawishiki kuamini km yanachomwa
 
Umeona tu post yangu. Post za wanaomlaumu Samia haujaziona.. mimi nilikuwa nawajibu hao waliokuwa wanamlaumu Samia kwa huu moto.
 
Mkuu kwani karume waliambiwa waondoke?

Na wale waliotolewa posta waliambiwa waende wapi ?

Na wa mwenge je waliambiwa waende wapi?
 
Kariakoo panakarabatiwa, pakiisha watarudi wenyewe. Sishawishiki kuamini km yanachomwa
Vyanzo vya moto vingi husababishwa na hawa mama lishe, sasa unakuta mtu anaondoka anaacha jikoni maharage yanachemka
Yeye kaenda zake huko chanika au sarangaa
Akirudi asubuhi yeye anataka kuyaunga tu

Mama lishe wengi wakiondokaga sehemu hizo wanaacha vitu jikoni

"Bongo kila kitu vagarantt"

Ova
 
Funga mdomo wako kama hujui mambo. Nani alikwambia jpm alikuwa kwenye orodha ya kuwa raisi? Jpm aliwekwa kama zima moto baada ya kuona moto wa lowasa hawauwezi. Jpm aliingia kuokoa jahazi, mkapa ndo alipendekeza jina lake ila kumbuka wale watu walikuwa na jina jingine.

Walivyoona moto wa lowasa ni mkali wakakubaliana na mkapa jpm akapita.kumbuka mkapa alikuwa mstaafu so sauti hakuwa nayo kuwa. Wale watu ndo walimpendekeza huyo mwanamke, jpm mwanzoni alikataa ila mwisho ikakubaliana nao. Unajua serikali ina washauri wengi kuliko unavyodhani.

Unakumbuka kipindi tetesi yule mama alivyotaka kujihuzuru? Akazila akaenda visiwani akakaa? Jpm alimjibu hambembelezi akitaka aache.
Wale watu wakaona wanakosa mtu wao serikalini, wakambembeleza akarudi.

Sasa wewe usojua mambo unaongea nini? Nyamaza tu hujui chochote.
 
Wakati wanaunguza, wasisahau kuna majira yaja ambapo mliopo kwenye viyoyozi mtaonja shubiri ya kupondwa mawe na kuunguzwa kwa mahekalu, magari, biashara na hata maofisi mnayojivunia na kuwadharau watu wa hali ya chini.
 
Point ni kwamba sio kila tatizo linalofanywa na ccm basi tuseme suluhisho ni kufikiria kuitoa ccm madarakani kitu ambacho hadi sasa hatujakiweza kukifanya, mambo mengine tunaruhusu kuendelea kufanywa na hao ccm kwa sababu ya ujinga wa watanzania sasa hata kama kikija chama chengine ikiwa bado huu ujinga upo basi lazima matatizo yataendelea kutokea tu.
 
kitu ambacho sijaelewa hadi sasa pale karume watu huwa hawalali na usiku moto ni rahisi kuuona ilikuwajekuwaje mpaka moto ukawa mkubwa vile bila ya raia kuuona hata Moshi ,ulianzia maeneo yapi pale karume[emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…