Soko la Karume limeungua moto

Na kuna mpuuzi mmoja alikuwa anatoa ushuhuda kuwa aliona moto umeanzia upande wa pembeni akadhani wanachoma tairi.
Hivi hata ukiona wanachoma tairi kwenye jiji kama la Dar,unashindwa kutoa taarifa fire?Hadi moto ukawa mkubwa ndio watu wanastuka.
 
Watanzania tuna upuuzi mwingi ambao unatuletea hasara mno wakati mwingine.
Mfano hivi kwenye miji hakuna sheria inayokataza kuchoma moto chochote iwe taka au tairi za gari kama wafanyavyo siku za kuupokea mwaka mpya?
Mbona kuna huo upuuzi wa kuchoma taka kati kati ya miji yetu tena wakati wa usiku na hatua hazichukuliwi?

Huenda suala la kuona moto kama si kitu cha kawaida hata kama ni mdogo lingekuwepo,moto ungezimwa mapema.

Soko halina walinzi?Walifanya nini walipoona moto umeanza kuwaka?Je sio kwamba walinzi huiba mizigo humo kisha kulichoma soko ili kuondoa ushahidi?

Je kuna watu walikata bima ya moto?Je hakuna uwezekano watu hawa wakawa wamehusika kufanya hivi ili walipwe?

Je ni kweli kuna mwekezaji anataka kuchukua hilo eneo?Kama ni kweli kwa nini yeye na wanaofanikisha hiyo deal,wasihusishwe na huu moto?

Je chanzo kinaweza kuwa umeme?Maana umeme hauko stable kabisa tangu aingie waziri mpya kwenye hii wizara ya nishati.
Tunawajua watu wa Tanesco wanahitaji waziri mbabe ili wawe wastaarabu,kama ni huyu January ,kuna mijitu ina kibri huko,itamdharau tu.Viburi vyao vilishushwa tangu enzi za Prof Muhongo,leo wameibuka upyaa
 
Hahhahaha.. kazi ipo.
 
Karibu kwa kujenga flyover? , kununua ndege ? au kuboresha miundombinu ? au kudhibiti rushwa? ni wapigaji tu ndo mnaompiga vita JPM , hamna hata huruma watu wanachomewa biashara zao ww unatuletea ushabiki maandaz , pumbaf kbs
Wapiga dili ndio walimchukia na kweli yale maneno yalikuwa kweli tupu. Sahizi tunayaona wazi kuwa wapigaji madili ndio wametamalaki
 
Walaumu uongozi wa soko hapo

Ova
Uongozi wa soko taarifa wanazo mbona mapema kuwa hapo ni hatari kwa usalama. Na pengine washachukua chao mapema. Huwezi kusikia uongozi wa soko ukiongea maagizo yalishatoka.
 
Hajielewi huyo mpuuzi, hio hela ingetosha kumaliza mradi wa SGR kabisa kwamba mtu ndio akwapue hela hio af abakie salama? Kudokoa wamedokoa ila ni billions za madafu sio za mnywamwezi
 
Hizo hela ndefu sana acha umbeya wewe, mmeshupalia kaiba 1.5T huenda ikawa kweli ila sio hizo trillion 25 za kibongo acha upumbavu!
 
Sasa ndio hapo inasikitisha mtu mmoja au genge la watu wachache kuiba hela nyingi kiasi hicho kwenye nchi maskini na maskini kubakia kulipa hilo deni. Kwenye utawala wake tu nduli Jiwe alikopa zaidi ya trillion 50 na 21 akalamba
Upumbavu we jmaa ni mchochezi halafu mnaa ambaye una chuki zako na magufuli! Kwenye record jamaa aliongeza deni kwa 29T pekee na mavitu kibao kfanya yakuonekana
 
Any documents kusupport unacho kiandika?

450m usd hivi unaijua hii kwa kibongo shilingi ngapi?
Huyo jamaa ni choko kweli! Hizi figure wanajiandikia tu ili kumchafua mtu kmsingi thamani halisi ya pesa hawaitambui!😅
 
Ndiko kwenye vijana wahanga wengi wa utawala wa ccm,au ulitaka wakuu wa wilaya na wakurugenzi na mapolisi nao waandamane?
Kuna wafanyakazi nao ni wahanga ila linapokuja suala la kuandamana wao wanaishia kuandamana mitandaoni na kutegemea wamachinga ndio wakapambane na polisi maana hawana cha kupoteza.
 
We ni **** kama **** wengine tu jombii
 
kitu ambacho sijaelewa hadi sasa pale karume watu huwa hawalali na usiku moto ni rahisi kuuona ilikuwajekuwaje mpaka moto ukawa mkubwa vile bila ya raia kuuona hata Moshi ,ulianzia maeneo yapi pale karume[emoji848][emoji848]
Hio ni order imepita mzee hivi vitu wala haviitaji kuumiza kichwa! Waliopewa order na waliokuwepo taarifa walikuwa nazo na walishatoa mazaga yao! Waliosalia ni wale ambao hawakusandia mchongo
 
Wakati wanaunguza, wasisahau kuna majira yaja ambapo mliopo kwenye viyoyozi mtaonja shubiri ya kupondwa mawe na kuunguzwa kwa mahekalu, magari, biashara na hata maofisi mnayojivunia na kuwadharau watu wa hali ya chini.
Hili ndio ambalo hawalijui tu, watu kuchoma hizo V8 ni swala la muda tu wataanza kuzivizia chocho usiku maana zinalala kwenye matawi ya CCM na kuzipiga nali tu😅!

Mlinzi anagewa kibunda watu wanafanya yao tu. Dereva akiamka ofisi yake imeungua moto. Ni swala la muda watu washachoka sasa
 
Hawa wanafanya sababu wanajua hatuna la kufanya na wamezoea. Kujikosha watadakwa hata wasio na hatia! Ila hii ni laana hasa kuonea maskini.
 
Bado kidogo
 
Sio uzembe mkuu? Hii ni hujuma ya wazi! Vyombo vya ulinzi vina wajibu wa kutulinda, wafanye kazi yao bila kuangalia sura ya mtu.
 
Uongozi wa soko taarifa wanazo mbona mapema kuwa hapo ni hatari kwa usalama. Na pengine washachukua chao mapema. Huwezi kusikia uongozi wa soko ukiongea maagizo yalishatoka.
Kwanza hayo mabanda wameyajenga wenyewe hao wafanyabiashara

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…