lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,920
- 3,388
Jambo kubwa alilofaulu Makalla kwenye Maisha yake ni kuchoma masoko moto.Hii tred ya kuunguza masoko bado haijaisha tu?
Naambiwa soko la Karume limeungua lote na hakuna kilichobaki.
Hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuunguza masoko ya machinga maeneo mbali mbali nchini ikiwa na lengo moja la kuwaondoa machinga.
Najiuliza, mbona karume watu walikua tayari organized, shida ni nini? Mnalazimisha watu wakapange kwenye vizimba machinga complex ambavyo tayari mlishajimilikisha ili mpate pesa ya kula.
Ipo siku hawa mnaowaonea itafika siku watachoka.
View attachment 2083158
Kuna viongozi wanajiwekea mazingira mazuri ya KULA KWA USAWA WA KAMBA ZAO.Hii Hatari Sana Yaani Nalo Limeungua Viongozi Wapo
Mkuu wangu ulichoongea hiki hapa👇😁😁😁Upuuzi wetu wtzednia, yaani tunaona kabisa srkl hii iko kwa ajili ya matumbo yao, lakini bado tunawachekea, Acha kila mmoja aguswe ndipo sasa tuamke.
Ndicho lifuatalo hiloAfu fire team ikaenda sijui kulinda moto usisambae maeneo yasiyolengwa kuunguzwa. Utasikia zimetolewa billion 50 zenye 10 percent kujenga soko jipya la kisasa
Tatizo ni Watanzania kwa kuruhusu CCM kupora dola kila mwaka wa uchaguzi.Sio kweli,Tatizo ni CCM na sisi Watanzania!
Walinzi wa soko wanasemaje?Hii tred ya kuunguza masoko bado haijaisha tu?
Naambiwa soko la Karume limeungua lote na hakuna kilichobaki.
Hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuunguza masoko ya machinga maeneo mbali mbali nchini ikiwa na lengo moja la kuwaondoa machinga.
Najiuliza, mbona karume watu walikua tayari organized, shida ni nini? Mnalazimisha watu wakapange kwenye vizimba machinga complex ambavyo tayari mlishajimilikisha ili mpate pesa ya kula.
Ipo siku hawa mnaowaonea itafika siku watachoka.
View attachment 2083158
🤡🤡🤡Awamu ya kupiga hela hii ya waswahili
Kwani muunguzaji ni nani?!Hii tred ya kuunguza masoko bado haijaisha tu?
Naambiwa soko la Karume limeungua lote na hakuna kilichobaki.
Hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuunguza masoko ya machinga maeneo mbali mbali nchini ikiwa na lengo moja la kuwaondoa machinga.
Najiuliza, mbona karume watu walikua tayari organized, shida ni nini? Mnalazimisha watu wakapange kwenye vizimba machinga complex ambavyo tayari mlishajimilikisha ili mpate pesa ya kula.
Ipo siku hawa mnaowaonea itafika siku watachoka.
View attachment 2083158
Hii nchi nyepesi sana kuongoza. Imagine kauli kama hii halafu watu tumeona ni jambo la kawaida tu.Mkuu wangu ulichoongea hiki hapa👇😁😁😁
View attachment 2083175
Kwa hiyo mbinu ni kuwahamisha kwa Petroli na kiberiti?Lengo ni kuhamishwa hao wamachinga wa hapo Karume.
Hamna binadamu anayependwa na kila mtu hajawahi kuumbwa ww kama humpendi ni ww,ila kwa wengine ataendelea kuwa bora na shujaa ,watakao mpenda wataongea mazuri yake na watakao mchukia wataongea mabaya yake.Mkuu. Mimi natafakari sana...wafuasi wa JPM ambao mnaona alikuwa mfalme au muungu wa hapa duniani ndio Mna akili za ajabu sana. Hamuoni maovu yake na makosa yake. Lakini ndio watu walivyo.. na ndio maana wengine wnafanikiwa kwenye maisha na wengije HAWAFANIKIWI. Sababu ni mnakosa thinking capacity nzuri.. Endeleeni tu na fikra zenu izo
Lakini ndo wakome maana yaliitishwa maandamo wakajifanya wako bize na mambo yao na vitambulisho feki,haya sasa wakale walipopeleka mboga...Miaka na miaka hayo masomo yap hapo hayajawahi kuungua, yanakuja kuungua leo na mudus operand yao ni ile ile, kuunguza usiku watu wakiwa hawapo ili wakiamka asubuhi wakute kila kitu kimeteketea.
Watu hawana uchungu wala hata moyo wa kujali kwamba wafanyabiashara wa pale mitaji yao ni midogo sana, bado unawachomea vitu vyao vyote. Waende kula wapi?
Umeongea kinyume.Watu ndiyo hawana huruma na maisha yao kwa kuruhusu kutawaliwa na mbwa-CCM.Haiwezi kuwa coincidence karume na kariakoo yote yaungue ndani ya miezi michache kuna kitu kinafanywa tena yote usiku how?? Hawa umbwa hawana huruma na maisha ya watu kudadeki zao.
Makala akiwa mbeya moto kila siku masokoni.kaja dar masoko mawili tayari,watu wanaunga dot nakujiuliza why?,japo hakuna ushahidi kwamba makala anahusikaUko sahihi kabisa. Tatizo ni kwamba watu hapa wameanza kuingiza siasa.. kwa mambo ambayo wala hawana uhakika.
Na ushahidi wa hilo huu hapa👇😁😁😁
🤡🤡🤡Ww unae ona Magufuli ni mbaya sisi tunaona ndo alikua mkombozi wa kweli na huwezi lazimisha nyeusi kua nyeupe,Unajua kabisa mtetezi wa wanyonge alikua ni nani ila jeuri tu....