Soko la Karume limeungua moto

Soko la Karume limeungua moto

Hii tred ya kuunguza masoko bado haijaisha tu?

Naambiwa soko la Karume limeungua lote na hakuna kilichobaki.

Hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuunguza masoko ya machinga maeneo mbali mbali nchini ikiwa na lengo moja la kuwaondoa machinga.

Najiuliza, mbona karume watu walikua tayari organized, shida ni nini? Mnalazimisha watu wakapange kwenye vizimba machinga complex ambavyo tayari mlishajimilikisha ili mpate pesa ya kula.

Ipo siku hawa mnaowaonea itafika siku watachoka.
View attachment 2083158
Jambo kubwa alilofaulu Makalla kwenye Maisha yake ni kuchoma masoko moto.
 
Upuuzi wetu wtzednia, yaani tunaona kabisa srkl hii iko kwa ajili ya matumbo yao, lakini bado tunawachekea, Acha kila mmoja aguswe ndipo sasa tuamke.
Mkuu wangu ulichoongea hiki hapa👇😁😁😁
 
Walin
Hii tred ya kuunguza masoko bado haijaisha tu?

Naambiwa soko la Karume limeungua lote na hakuna kilichobaki.

Hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuunguza masoko ya machinga maeneo mbali mbali nchini ikiwa na lengo moja la kuwaondoa machinga.

Najiuliza, mbona karume watu walikua tayari organized, shida ni nini? Mnalazimisha watu wakapange kwenye vizimba machinga complex ambavyo tayari mlishajimilikisha ili mpate pesa ya kula.

Ipo siku hawa mnaowaonea itafika siku watachoka.
View attachment 2083158
Walinzi wa soko wanasemaje?
 
Kwani muunguzaji ni nani?!
 
Mkuu. Mimi natafakari sana...wafuasi wa JPM ambao mnaona alikuwa mfalme au muungu wa hapa duniani ndio Mna akili za ajabu sana. Hamuoni maovu yake na makosa yake. Lakini ndio watu walivyo.. na ndio maana wengine wnafanikiwa kwenye maisha na wengije HAWAFANIKIWI. Sababu ni mnakosa thinking capacity nzuri.. Endeleeni tu na fikra zenu izo
Hamna binadamu anayependwa na kila mtu hajawahi kuumbwa ww kama humpendi ni ww,ila kwa wengine ataendelea kuwa bora na shujaa ,watakao mpenda wataongea mazuri yake na watakao mchukia wataongea mabaya yake.
 
Miaka na miaka hayo masomo yap hapo hayajawahi kuungua, yanakuja kuungua leo na mudus operand yao ni ile ile, kuunguza usiku watu wakiwa hawapo ili wakiamka asubuhi wakute kila kitu kimeteketea.

Watu hawana uchungu wala hata moyo wa kujali kwamba wafanyabiashara wa pale mitaji yao ni midogo sana, bado unawachomea vitu vyao vyote. Waende kula wapi?
Lakini ndo wakome maana yaliitishwa maandamo wakajifanya wako bize na mambo yao na vitambulisho feki,haya sasa wakale walipopeleka mboga...

Watz hawasikii mpaka wapigwe nyundo km hizi
 
Uko sahihi kabisa. Tatizo ni kwamba watu hapa wameanza kuingiza siasa.. kwa mambo ambayo wala hawana uhakika.
Makala akiwa mbeya moto kila siku masokoni.kaja dar masoko mawili tayari,watu wanaunga dot nakujiuliza why?,japo hakuna ushahidi kwamba makala anahusika
 
Ww unae ona Magufuli ni mbaya sisi tunaona ndo alikua mkombozi wa kweli na huwezi lazimisha nyeusi kua nyeupe,Unajua kabisa mtetezi wa wanyonge alikua ni nani ila jeuri tu....
🤡🤡🤡
16409521842520.jpg
16407794172240.jpg
 
Back
Top Bottom