chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,599
- 2,115
Daah,mbona ni ujinga sana unaoendelea hapo dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uo ndiyo ukweliHaiwezi kuwa coincidence karume na kariakoo yote yaungue ndani ya miezi michache kuna kitu kinafanywa tena yote usiku how?? Hawa umbwa hawana huruma na maisha ya watu kudadeki zao.
Samia has no touch with citizens who earn little money in this country. Likewise mafisadi wengi huwa hawana uchungu na watu wa Chini.Hii tred ya kuunguza masoko bado haijaisha tu?
Naambiwa soko la Karume limeungua lote na hakuna kilichobaki.
Hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuunguza masoko ya machinga maeneo mbali mbali nchini ikiwa na lengo moja la kuwaondoa machinga.
Najiuliza, mbona karume watu walikua tayari organized, shida ni nini? Mnalazimisha watu wakapange kwenye vizimba machinga complex ambavyo tayari mlishajimilikisha ili mpate pesa ya kula.
Ipo siku hawa mnaowaonea itafika siku watachoka.
Inategemea mazao yako bhanaUkimchekea Kima lazima uvune mabua.
View attachment 2083049
Kwahiyo Mungu ndio huukumu na sio shetaniInaumiza sana ila kama kuna mtu anahusika na hili Mungu ampe mwisho mbaya afee kifoo kibaya maana hajui watu wanaumiza sana vichwa kukuza vimtaji vyao na kama nitasikia serikali inataka kumpa mwekezaji ndo tutajua kumbe ni moto wa mchongo
Wafanyabiashara kwanza hapo wanakaa,wanajipanga kama papasiUko sahihi kabisa. Tatizo ni kwamba watu hapa wameanza kuingiza siasa.. kwa mambo ambayo wala hawana uhakika.
Nimepita pale wakati nakuja kariakoo kwakweli nilichokuona nimeshikwa na uchungu sana japo sina ata biashara paleKwa hili nililoliona usiku nakubaliana na wewe mkuu
Ukikosa hoja unabakia kutukana tuWe nawe mfua chupi za samia hujitambui
Hivi Kwan humu masokoni hakuna walinzi? Ambao wanaweza kutoa taarifa mapema kabla ya moto kuwa mkubwa? Au ndo Mchongo?Sasa naanza kuamini haya matukio ya moto hayafanyiki kwa bahati mbaya na mashaka yangu yapo kwenye system
Mkuu. Mimi natafakari sana...wafuasi wa JPM ambao mnaona alikuwa mfalme au muungu wa hapa duniani ndio Mna akili za ajabu sana. Hamuoni maovu yake na makosa yake. Lakini ndio watu walivyo.. na ndio maana wengine wnafanikiwa kwenye maisha na wengije HAWAFANIKIWI. Sababu ni mnakosa thinking capacity nzuri.. Endeleeni tu na fikra zenu izoJifunze kutafakari Mkuu
Serikali ya Samia inahakikisha watanganyika wanaishi kwa shidaNa wanakomeshwa kweli.
nchi ya kindezi sana hii, anaongea ujinga hivi!Ukimchekea Kima lazima uvune mabua.
View attachment 2083049
Wa kwanza kabisa anaehusika na hili ni hao hao vijana wafanyabiashara wa Karume kwa kuruhusu CCM kushika dola.Inaumiza sana ila kama kuna mtu anahusika na hili Mungu ampe mwisho mbaya afee kifoo kibaya maana hajui watu wanaumiza sana vichwa kukuza vimtaji vyao na kama nitasikia serikali inataka kumpa mwekezaji ndo tutajua kumbe ni moto wa mchongo
Machinga complexHatari sana mabegi tutanunua wapi
Ww unae ona Magufuli ni mbaya sisi tunaona ndo alikua mkombozi wa kweli na huwezi lazimisha nyeusi kua nyeupe,Unajua kabisa mtetezi wa wanyonge alikua ni nani ila jeuri tu....Mkuu. Mimi natafakari sana...wafuasi wa JPM ambao mnaona alikuwa mfalme au muungu wa hapa duniani ndio Mna akili za ajabu sana. Hamuoni maovu yake na makosa yake. Lakini ndio watu walivyo.. na ndio maana wengine wnafanikiwa kwenye maisha na wengije HAWAFANIKIWI. Sababu ni mnakosa thinking capacity nzuri.. Endeleeni tu na fikra zenu izo