Soko la Karume limeungua moto

Soko la Karume limeungua moto

Hii tred ya kuunguza masoko bado haijaisha tu?

Naambiwa soko la Karume limeungua lote na hakuna kilichobaki.

Hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuunguza masoko ya machinga maeneo mbali mbali nchini ikiwa na lengo moja la kuwaondoa machinga.

Najiuliza, mbona karume watu walikua tayari organized, shida ni nini? Mnalazimisha watu wakapange kwenye vizimba machinga complex ambavyo tayari mlishajimilikisha ili mpate pesa ya kula.

Ipo siku hawa mnaowaonea itafika siku watachoka.
Samia has no touch with citizens who earn little money in this country. Likewise mafisadi wengi huwa hawana uchungu na watu wa Chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaumiza sana ila kama kuna mtu anahusika na hili Mungu ampe mwisho mbaya afee kifoo kibaya maana hajui watu wanaumiza sana vichwa kukuza vimtaji vyao na kama nitasikia serikali inataka kumpa mwekezaji ndo tutajua kumbe ni moto wa mchongo
Kwahiyo Mungu ndio huukumu na sio shetani
 
Kama yanaungua kwa michongo wote waliofanya huo mchongo Mungu anawaona. They gonna burn in hell. Soko limeajiri vijana wengi ambao wengi wetu ni mpaka uende sokoni ndo upate unafuu wa maisha sasa familia zetu zitakula nini jamani daaa
 
Sirikali tuna kazi zetu maalumu na tuna tunu zetu sehemu zenye mazindiko na zenye kupitiwa na watu wengi huwa tunamaliza utata kwa design hiyo mwanzo mwisho mwenge umeshawashwa hivyo tunawacharizia jisikieni mko nyumbani dar iboreshwe dar ya hatari haitakiwi..nyumbani NI kuzuri kunapendeza
 
Jifunze kutafakari Mkuu
Mkuu. Mimi natafakari sana...wafuasi wa JPM ambao mnaona alikuwa mfalme au muungu wa hapa duniani ndio Mna akili za ajabu sana. Hamuoni maovu yake na makosa yake. Lakini ndio watu walivyo.. na ndio maana wengine wnafanikiwa kwenye maisha na wengije HAWAFANIKIWI. Sababu ni mnakosa thinking capacity nzuri.. Endeleeni tu na fikra zenu izo
 
Inaumiza sana ila kama kuna mtu anahusika na hili Mungu ampe mwisho mbaya afee kifoo kibaya maana hajui watu wanaumiza sana vichwa kukuza vimtaji vyao na kama nitasikia serikali inataka kumpa mwekezaji ndo tutajua kumbe ni moto wa mchongo
Wa kwanza kabisa anaehusika na hili ni hao hao vijana wafanyabiashara wa Karume kwa kuruhusu CCM kushika dola.

Waliochomewa soko ndiyo wanaopaswa kulaumiwa wa kwanza kwa kuruhusu nyoka kuchukua nchi.

Ukweli mchungu ni kwamba Wamef*rwa na serikali ya CCM.CCM wakati wa kampeni wanawaomba kura halafu wakishashika dola wanawaf*ra!

Hii nchi hakuna kitakachobadilika ni mpaka pale CCM watakapowekwa pembeni.
 
Mkuu. Mimi natafakari sana...wafuasi wa JPM ambao mnaona alikuwa mfalme au muungu wa hapa duniani ndio Mna akili za ajabu sana. Hamuoni maovu yake na makosa yake. Lakini ndio watu walivyo.. na ndio maana wengine wnafanikiwa kwenye maisha na wengije HAWAFANIKIWI. Sababu ni mnakosa thinking capacity nzuri.. Endeleeni tu na fikra zenu izo
Ww unae ona Magufuli ni mbaya sisi tunaona ndo alikua mkombozi wa kweli na huwezi lazimisha nyeusi kua nyeupe,Unajua kabisa mtetezi wa wanyonge alikua ni nani ila jeuri tu....
 
Back
Top Bottom