Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
😑😑😑Tumerudi kwenye tume na kamati zetu zisizo na majibu,watu wanajipigia tu hela. Ile kamati ya kariakoo shimoni imerudi na majibu gani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😑😑😑Tumerudi kwenye tume na kamati zetu zisizo na majibu,watu wanajipigia tu hela. Ile kamati ya kariakoo shimoni imerudi na majibu gani.
Hii ilala na karume ni Maeneo yangu aya niliyozaliwa na kukulia na mpaka leo naish humu humu,Napita mida hii kariakoo naona watu wanajenga upya lile soko na vitochi yani hawajasubiri hata kukuche.....aiseeee
Yetu machoHii ilala na karume ni Maeneo yangu aya niliyozaliwa na kukulia na mpaka leo naish humu humu,
nakuapia hakuna wafanya biashara wabishi,fighters na wahuni kama wasoko la karume,
Wahuni na wakabaji wengi wa kariakoo na mchikichini wali achaga izo mishe wakajiajiri mule ndani, asubuhi wanaenda kulenga mali hasa viatu af wanauza limepunguza sana wezi na wakabaji lile soko,
Kuwahamisha pale inabd nguvu ya ziada itumike,kwanza wengi ni watoto wa kariakoo,jangwani,kigogo,ilala na buguruni maisha yao yote wanacheza maeneo hayo t unampelekaje buza uyu mtu.
kuwahamisha sio rahisi ivo kama wanavyozani na wakitumia nguvu sana kuna vita inakuja,
Wale watu hawataenda popote nakuapia.
Kuna kitu kitatokea stay tunned.
Wewe ni wale mgambo au mlevi wa madaraka?Kajenge tubomoe tena, uje kuandika kwenye social media kama watakusaidia. Tafuta mbadala Kwa Sasa
Mnaacha kumuona adui yenu mnaanza kumshambulia mama Samia na wana CCM lakini ukweli utabaki kuwa adui namba moja wa Binadamu wote duniani ni serikali na taasisi zake! Imeisha hiyo.Hii trend ya kuunguza masoko bado haijaisha tu?
Naambiwa soko la Karume limeungua lote na hakuna kilichobaki.
Hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuunguza masoko ya machinga maeneo mbali mbali nchini ikiwa na lengo moja la kuwaondoa machinga.
Najiuliza, mbona karume watu walikua tayari organized, shida ni nini? Mnalazimisha watu wakapange kwenye vizimba machinga complex ambavyo tayari mlishajimilikisha ili mpate pesa ya kula.
TBL fire brigade walijaribu kutaka kuzima moto kwani uko karibu na depot yao wakakatazwa, kwamba waangalie moto usivuke kwenda kwenye depot yao na kwa wananchi ila mengine hayawahusu.
Ipo siku hawa mnaowaonea itafika siku watachoka.
View attachment 2083158
[emoji3] eti Tiasies.Ripoti gani sasa? Hivi kwani ripoti ya kuungua KKoo ilisemaje…? Nani alibainika kuhusika…?!
Tiasies ni malabuk…
[emoji3] eti Tiasies.