Soko la Machinga Dodoma, tumpe Rais Samia maua yake

Leta kwanza bandari zetu mengine yaendelee
 
Matching guys hawezi kuwa na soko. Huyo ni mjasiliamali tayari. Matching guy bado yupo barabarani
 
subiri baada ya miaka miwili urudi tena halafu tupe mrejesho umekuta nini kwa sasa ni mapema mno.nenda karume kaangalie lile soko la machinga lilivyo.
 
Machinga ni mtembeza bidhaa Sasa Sidhani anahitaji soko. Machinga yupo palipo na wateja
 
subiri baada ya miaka miwili urudi tena halafu tupe mrejesho umekuta nini kwa sasa ni mapema mno.nenda karume kaangalie lile soko la machinga lilivyo.
Kinachotakiwa sisi tufanye ni kuenzi na kutunza vya kwetu.....

Tukiwa na kasumba ya kuchukia vyetu tutakuwa tunaanza upya kila siku
 
Hayo mabanda yanawawezesha vijana wajasiriamali kuhudumia familia zao na kuchangia pato la Taifa.

Sometimes we need to be appreciative kwa vichache vinavyoonekana
Shida ni kuwa na mawazo ya simba uwezo wa mbwa

Yaani badala tufurahi kupiga hatua bado tunalalamika kila kitu wenzetu hivi wenzetu vile, majungu yanarudisha nyuma sometimes
 
Hata tunaowakosoa wanatushangaa kuona hatujui tunataka nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…