Soko la Mbeya liliungua miaka zaidi ya kumi na halijajengwa, ila la Kariakoo limeungua juzi tu limetengewa bilioni 34

Soko la Mbeya liliungua miaka zaidi ya kumi na halijajengwa, ila la Kariakoo limeungua juzi tu limetengewa bilioni 34

Soko la mbeya na soko la kariakoo ni vitu tofauti mnoooo
Hatuzungumzii Kariakoo yote. Unaweza ukakuta mapato ya lile jengo lililoungua yalikuwa yanapitwa na soko la uhindini Mbeya.
 
Mtoa uzi anazungumzia soko la uhindini mbeya ambalo lipo katikati ya jiji mkabala na NMB Mbalizi road . karibu na ofisi nyeti.

Kwa sasa lina tumika kama car parking.. ila nmeona building plan yake..
litajengwa kubwa kuliko hata hilo la dar.. kuna video na attach hapa.

Ingawa tetesi ni Kuwa Chief Ha--nga-- Yaaa... hapatani kabisa na mbunge Betina.. ndiyo maana Mbeya imelala hoii kwa sasa
 
mtoa uzi anazungumzia soko la uhindini mbeya ambalo lipo katikati ya jiji mkabala na NMB Mbalizi road . karibu na ofisi nyeti.


kwa sasa lina tumika kama car parking.. ila nmeona building plan yake..
litajengwa kubwa kuliko hata hilo la dar.. kuna video na attach hapa.

ingawa tetesi ni Kuwa Chief Ha--nga-- Yaaa... hapatani kabisa na mbunge Betina.. ndiyo maana Mbeya imelala hoii kwa sasa
Zitakuwa tetesi tu, Chief ni feminist mkubwa sana na mtu wa maridhiano. Sidhani kama anaweza kuwa na bifu na Tulia. Labda kama Tulia awe amemkosea sana.
 
yan anataka kufananisha mbeya na daslama ?...aisee
Usifananishe mikoa. Ukiangalia lile jengo la Kariakoo lililoungua na soko la pale mjini kati, unaweza kuta mapato ya lile soko la Mbeya yalikuwa makubwa zaidi.
 
Yaani huyu haelewi achana nae! Yaani Dar ndo Tanzania yaani hapa Tanzania dar ndo kiini cha nchi! Yaani kwa taarifa yako nyinyi mbeya hamuwezi kuwa kipao mbele kama Dar na Mwanza mpaka mwisho wa dunia!
Yan iko hivi , kwa mfano tu mipango ya sugu kuwa mbunge mbeya ilianzia dar, na mipango ya dr tulia kuwa mbunge wa mbeya pia ilianzia dar mkuu haon kama kuna namna ? Tanzania nzima kuna machinga ila machinga wa dar ndio serikali itawasikiliza kwanza unafikiri kwa nini ?...mipango ya hii nchi inaanzia dar sijapanga mimi ila ndio hali halisi
 
Usifananishe mikoa. Ukiangalia lile jengo la Kariakoo lililoungua na soko la pale mjini kati, unaweza kuta mapato ya lile soko la Mbeya yalikuwa makubwa zaidi.
we had tunakufa haiwezekani...hakuna soko litazid mapato kariakoo mzee, vitu vinavyouzwa mwanjelwa na sido vimetoka kariakoo aisee
 
Back
Top Bottom