Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
kabla ya awamu hiyo liliungua la mwanjerwa na ndio lile jengo la gorofa lilijengwa kwa bilioni 16, though watu walipigapiga hela na Majaliwa kipindi cha jpm alishaenda kuwachachafya pale. naona unaleta uchochezi kwa serikali tu hauna hoja yeyote kwasababu haujui kabisa kinachoendelea mbeya.Before hio awamu lishaunguaga mzee fatilia vyema
Sawa Jongwekabla ya awamu hiyo liliungua la mwanjerwa na ndio lile jengo la gorofa lilijengwa kwa bilioni 16, though watu walipigapiga hela na Majaliwa kipindi cha jpm alishaenda kuwachachafya pale. naona unaleta uchochezi kwa serikali tu hauna hoja yeyote kwasababu haujui kabisa kinachoendelea mbeya.
Sio Sido ni mbeya mjini pale uhindini . Ni soko nafikiri Lina zaidi ya 10 yearsHapo sido kila siku linaungua mpaka tumezoea yani kila mwisho wa mwaka lazma liungue
Wewe ndiyo wa kwanza kuleta ukabila kwenye huu uzi.Acha ukabila wewe, kariakoo ndio soko mama la mazao toka mikoa yote ya Tanzania, utalinganisha na soko la mkoani?
Hili soko hadi watu wamelisahau kama lilikuwepo. Inaonyesha ni jinsi gani serikali imejidai kulisahau. Kama unaijua Mbeya unajua soko kuu lilikuwa wapi?soko lililoungua Mwanjerwa wakinga wakalia sana baada ya paka wao kuungulia kwenye maduka, lilishajengwa soko jipya la Mwanjerwa. Sido pia iliungua, na pale sido panaitwa Soko la Makala. ni soko gani la mbeya unaloliongelea nje ya maeneo hayo? kama unaijua mbeya.
Soko la Sido na Mwanjelwa yapo karibu sana. Haujakosea sana kudhani ni soko moja. Na yote yaliungua. Lilipoungua la Mwanjelwa waziri Akukweti akaja kutoa pole na kuongea shit. Wakati wa kuondoka ndege yake ikaanguka na kuungua wakati wa kuruka. Ikaonekana kama Karma fulani hivi.Sawa Jongwe
Wewe ndio umecoment pointkwahiyo we ndio unaona umeandika point?
Tungehamasisha mikoa iliyopo mipakani ili tupunguze msongamano wa darNi tatizo. Mikoa yote ya mipakani kama Kagera, Kigoma, Songwe, Mbeya nk ingeweza kujengwa masoko ya kimataifa. Kungekuwa hakuna sababu ya watu wa kutoka nchi jirani kwenda mpaka Dar kufanya manunuzi ya jumla.
Hii imekaaje. Ni kwamba serikali inafanya miradi yake kwa upendeleo?
Kwani mbeya zinaishi nyani?
BETINA NDIYE KIKWAZOMtoa uzi anazungumzia soko la uhindini mbeya ambalo lipo katikati ya jiji mkabala na NMB Mbalizi road . karibu na ofisi nyeti.
Kwa sasa lina tumika kama car parking.. ila nmeona building plan yake..
litajengwa kubwa kuliko hata hilo la dar.. kuna video na attach hapa.
Ingawa tetesi ni Kuwa Chief Ha--nga-- Yaaa... hapatani kabisa na mbunge Betina.. ndiyo maana Mbeya imelala hoii kwa sasa
Mkuu mwendazake akisha mwaga sumu ya kutosha nyanda za juu kusini.
Ndio babu nadeka sana naona kama nimezidisha haswa baada ya kuwa na furahaHahaha ila mimi sio "mkuu" mini ni "babu" vipi kipenzi, Bado unadeka?
Basi hongera sana. Katika udekaji wako usisahau babu pia anapenda kudekezwa...Ndio babu nadeka sana naona kama nimezidisha haswa baada ya kuwa na furaha
Naona unafananisha mbingu na dunia. Huko Mbeya so mnanunua wenyewe tu viazi mbatata mnalima home wakati Kariakoo kila mwenye mazao huko mikoani analeta hapa sababu ndio Kuna wachuuzi wengi mpaka nchi za jirani Zanzibar, comoro, Seychelles etc.Hii imekaaje. Ni kwamba serikali inafanya miradi yake kwa upendeleo?