Soko la silaha za Mrusi litadorora vita na Ukraine imeonyesha kuwa silaha za Mrusi dhaifu

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Soko la silaha za Mrusi litadorora vita na Ukraine imeonyesha kuwa silaha za Mrusi dhaifu

Mavifaru ya mrusi yanabomolewa hovyo na makombora ya Javelin

Meli hodari kivita ya mrusi kulipuliwa na kombora Neptune

Ni meseji sent kwa wanunuzi wa silaha kuwa hizo silaha za Urusi si kitu

Soko lake la silaha za kivita linaenda kufa
 
... baada ya hii vita Ukraine inaenda kuwekeza sana kwenye medani za kijeshi; inaenda kuwa mojawapo ya mataifa hatari zaidi kwa zana za kijeshi duniani maana wameshagundua hawako salama. Bila kujipanga kuna siku kichaa atawamaliza.
 
Soko la silaha za Mrusi litadorora vita na Ukraine imeonyesha kuwa silaha za Mrusi dhaifu

Mavifaru ya mrusi yanabomolewa hovyo na makombora ya Javelin

Meli hodari kivita ya mrusi kulipuliwa na kombora Neptune

Ni meseji sent kwa wanunuzi wa silaha kuwa hizo silaha za Urusi si kitu

Soko lake la silaha za kivita linaenda kufa
Hivi Marekani walipokaa Afghanistan miaka karibu Ishirini 20 na akashindwa kuwamaliza Taliban soko lake la silaha Lilidorora??

Sasa Taleban na Jeshi la Ukraine nani ana nguvu na silaha nzito??
 
USS Samuel B. Roberts (FFG-58) is one of the final ships in the United States Navy's Oliver Hazard Perry-class of guided missile frigates (FFG). Commissioned in 1986, the ship was severely damaged by an Iranian mine in 1988, leading U.S. forces to respond with Operation Praying Mantis.
 
It was almost three decades ago and the then technology wasn't as advanced as it is today.
 
B52 zipatazo 30 zilishushwa kule Vietnam, wakitumia silaha za Msoveti.

F35 ndio huwa zikipigwa upepo tu zinaanguka, tazama Saudia ilivyoliouliwa visima na ngao za anga za US ziko pale.

Tazama Iran ilivyo piga kambi za US kwa shabaha za hali ya juu pale Iraq.

Tazama Russia alivyo badili mchezo pale Syria.

Silaha za Russia ndio zitaongezeka kuuzwa zaidi kwa jinsi ambavyo anakabili NATO na US kwq wakati mmoja.

Asante sana mchambuzi wa masuala ya kijeshi toka JF.
 
Marekan wamefanya vita Iraq na Afghanstan zaid ya miaka 20 na wamepoteza wanajeshi 7000 tu. Russia ndan ya wiki mbili wamepoteza karibu mara mbili ya Marekan...Utasema propaganda, lakin Urusi hajawahi kuwa mzuri kwenye silaha za kushambulia...kila kitu alichokua anakifanya ni kujilinda dhidi ya NATO. Pia chip wananua kwa hao hao adui zao
 
B52 zipatazo 30 zilishushwa kule Vietnam, wakitumia silaha za Msoveti.

F35 ndio huwa zikipigwa upepo tu zinaanguka, tazama Saudia ilivyoliouliwa visima na ngao za anga za US ziko pale.

Tazama Iran ilivyo piga kambi za US kwa shabaha za hali ya juu pale Iraq.

Tazama Russia alivyo badili mchezo pale Syria.

Silaha za Russia ndio zitaongezeka kuuzwa zaidi kwa jinsi ambavyo anakabili NATO na US kwq wakati mmoja.

Asante sana mchambuzi wa masuala ya kijeshi toka JF.
Usidanganywe, Marekan na ulaya inaongoza kwa teknolojia ya duu ya duniani...hiyo inafaamika siku zote. Naona pia pesa inachangia kwa sababu marekani ina bajet ya jeshi kubwa karibia mara 8 kuliko nchi inayoshika nafasi ya pili...na bajeti yake ni sawa na jumla ya bajet ya mataifa 10 yanayofata chini yake...kwahyo unaachana na propaganda unaangalia mzani ulipolemea tu ndo unajua ukweli
 
USS Samuel B. Roberts (FFG-58) is one of the final ships in the United States Navy's Oliver Hazard Perry-class of guided missile frigates (FFG). Commissioned in 1986, the ship was severely damaged by an Iranian mine in 1988, leading U.S. forces to respond with Operation Praying Mantis.
Unajua tofauti ya mine na missile, ukiacha na hayo je hiyo meli ilizama kama hii?
FB_IMG_16500931223323697.jpg
 
Usidanganywe, Marekan na ulaya inaongoza kwa teknolojia ya duu ya duniani...hiyo inafaamika siku zote. Naona pia pesa inachangia kwa sababu marekani ina bajet ya jeshi kubwa karibia mara 8 kuliko nchi inayoshika nafasi ya pili...na bajeti yake ni sawa na jumla ya bajet ya mataifa 10 yanayofata chini yake...kwahyo unaachana na propaganda unaangalia mzani ulipolemea tu ndo unajua ukweli
When It Come About Technology Ya Vifaa Vya Kijeshi Jua Unazungumzia First Russia Anafuata U.S.A Kama Uhamini Fanya Utafiti Utaniambia
 
Kama utonunua silaha ya mrusi, utanunua silaha ya wapi isiyoweza kupigwa.kama hii ya Marekani ilikuwa ni ndege mpya kabisa isiyonekana kwenye rada na mwisho wa siku ikangukia kwenye mfumo wa zamani kabisa wa miaka ya 1960.(Neva pachora).sasa hapo unategemea utapata silaha kutoka nchi gn isiyo mapungufu.labda utengeneze ya kwako ndo itakuwa perfect % 100
images%20(6).jpeg
images%20(5).jpeg
 
Hivi Marekani walipokaa Afghanistan miaka karibu Ishirini 20 na akashindwa kuwamaliza Taliban soko lake la silaha Lilidorora??

Sasa Taleban na Jeshi la Ukraine nani ana nguvu na silaha nzito??
In my opinion, kuna tofauti kubwa kati ya operation na occupation ya marekani kwa Taliban vzvz Rusia na Ukrain
 
Back
Top Bottom