kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
Kikubwa ni uaminifu hasa zama hizi za utapeli Kila leoWakuu habari, nilitaka kuwasahau wana Jf wenzangu.
Nitakua nawapostia katika uzi huu vitu tofauti tofauti used tu na kwa bei sawa na bure...
Mkuu, naweka bei, nimepost kwanza bidhaa watu waone namaanisha vitu vya aina gani. Anyway boss. Naweka price na location kabisa.Ndo tatizo la waswahili. Anapost bidhaa haweki bei. Ili tena tumuulize sijui aseme tumfuate pembeni? Unasema unauza halafu huweki bei huo si ni utapeli?
Usijari mkuu, hata hivyo sipokei pesa ya mtu, nawaconnect wanalipana wao kwa wao, na mtu yoyote asitume pesa kwa mtu yoyotw bila kukabidhiana bidhaa. Hivyio haskuna wasiwasi mkuu.Kikubwa ni uaminifu hasa zama hizi za utapeli Kila leo
Na mikoani vipi unapataje?Usijari mkuu, hata hivyo sipokei pesa ya mtu, nawaconnect wanalipana wao kwa wao, na mtu yoyote asitume pesa kwa mtu yoyotw bila kukabidhiana bidhaa. Hivyio haskuna wasiwasi mkuu.
Ni kweli. Huu ni utapeli. Umeamua kuuza bei unaficha ya nini???Ndo tatizo la waswahili. Anapost bidhaa haweki bei. Ili tena tumuulize sijui aseme tumfuate pembeni? Unasema unauza halafu huweki bei huo si ni utapeli? [/B]
Mikoani unaweza kupata lakini ni vyema ukiwa na mtu unaemfahamu huku akakurepresent inakua rahisi zaidi, au nakuconnect then nyie mnafanya kukubaliana naz muuzaji, mimi nasimamia tu kuhakikisha muuzaji anatuma kwa wakati mliokubalianaNa mikoani vipi unapataje?
Mkuu, bei zipo na samahani kwa kutoweka bei mwanzo, sababu nilitaka tu kupost randomly watu wajue nauza nini ili kisha nianze kupost officially. Karibu sana.Ni kweli. Huu ni utapeli. Umeamua kuuza bei unaficha ya nini???