90sgeneration
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 421
- 502
- Thread starter
- #41
Sawa mkuu, nitafanyia kazi.Kuna bidhaa zinaitaji uongeze picha zaid ili kumvutia mteja sio kuweka picha moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu, nitafanyia kazi.Kuna bidhaa zinaitaji uongeze picha zaid ili kumvutia mteja sio kuweka picha moja
Hivi mkiweka bei mnakufa?Ac, btu 18,000 full na blacket yake
Haina tatizo lolote, ni kufunga na kuanza kutumia.
Location: Kwa Aziz AllyView attachment 2553408View attachment 2553409View attachment 2553410
Oh niwie radhi mkuu, hii nilisahau kuiwekea price yake, ngoja niedit niweke price
Nimeweka price tayari.
Ninelizingatia boss, ila kwa hivyo vitanda hapo, vyenyewe.ni vipya kabisa na ni mti mgumu, so unatoa dukani, thats why unaona.bei ni kama imesimama kiasi ila used ni bei poa sana'Bei sawa na bure'
Je hilo umelizingatia maana bei ni zile zile na zimesimama kabisa
Mkuu nakutakia kheri. Nikipata cha level yangu ntakuungaNinelizingatia boss, ila kwa hivyo vitanda hapo, vyenyewe.ni vipya kabisa na ni mti mgumu, so unatoa dukani, thats why unaona.bei ni kama imesimama kiasi ila used ni bei poa sana
Mkuu, used unapatana tu na nuuzaji sababu ashakilipia kodi alipokinunua. Ila kuhusu hivi vipya boss usijari utapatiwa.List zinapatikana ,tusije tukanunua tukaaza kufatiliana
Mkuu nakutakia kheri. Nikipata cha level yangu ntakuunga
Karibu sana Mkuu.Kazi nzuri sanaa, ngoja tutafte vitu cheap na OG hapa sisi tunaoanza maisha