DuuNi mapema mno kusema uwanja umejaa subiri kwanza zoezi la kugawa jezi liishe.
View attachment 1585196
Siasa ni uadui kwa tafsiri ya Magufuli.Leo Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni katika mkoa wa Mbeya na mkutano huu utarushwa mubashara kupitia TBC, Channel ten, Star tv, ITV na mitandao mbalimbali.
Karibu.
Updates;
Uwanja umefurika wananchi wa itikadi mbalimbali na bendera zao hakika siasa siyo Uadui.
Viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili hapa uwanjani.
Ngoja tukasilikilize sera za mzee babaUwanja wa Sokoine umefurika kwa sababu tuna jambo letu na Konde boy pamoja na Diamond Platinum hapo
Hata Mimi nimepata ukakasi.Magufuli hafanyii mkutano kwenye uwanja wa Sokoine mbona? Anafanyia kwenye Airport ya zamani.
Natumaini na leo atawapigia magoti Wasafa.Leo Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni katika mkoa wa Mbeya na mkutano huu utarushwa mubashara kupitia TBC, Channel ten, Star tv, ITV na mitandao mbalimbali...
Wagombea wapo zaidi ya 10, kama baadhi hawataki kwa kutoona manufaa, fanyeni debate na hao wengine wanaoona itawasaidia.Tunataka debate siyo kupiga magoti!
Mkutano unafanyikia Uwanja wa ndege wa zamani, pale Sokoine Wana Mbeya wameona hapatoshi.tazama nyomi. Mbeya ni green cityLeo Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni katika mkoa wa Mbeya na mkutano huu utarushwa mubashara kupitia TBC, Channel ten, Star tv, ITV na mitandao mbalimbali...
Kama unadhani wasanii kuhudhuria ni rahisi na nyinyi wachukue. Ninyi si mna Sugu, Profesa J n.k?Wasanii wako wangapi?
hata geita na mwanza chadema walijaza viwanja na ni stronghold ya CCM kwahiyo tuliza kinyeoChama cha Ufipa wanakuambia ndio ngome yao hiyo! Kwa ujio wa Magufuli leo ni kupigilia msumari tu. Tulia ashalichukua jiji hilo mapema asubuhi!.
sisi tunafanya kampeni siyo fiesta dogo fikiri kwa kutumia ubongo siyo makalioKama unadhani wasanii kuhudhuria ni rahisi na nyinyi wachukue. Ninyi si mna Sugu, Profesa J n.k?
Huyu mtu ameshaishiwa pumzi.Chama cha Ufipa wanakuambia ndio ngome yao hiyo! Kwa ujio wa Magufuli leo ni kupigilia msumari tu. Tulia ashalichukua jiji hilo mapema asubuhi!.
Msanii gani atakuwepo tujongeeLeo Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni katika mkoa wa Mbeya na mkutano huu utarushwa mubashara kupitia TBC, Channel ten, Star tv, ITV na mitandao mbalimbali...
debate bila huyo aliyeko madarakani hainogi maana ndo anayejua jinsi serikali yake ilivyofanya kazi,au mnaogopa debate kwa vile hajui english wala kiswahili fasahaWagombea wapo zaidi ya 10, kama baadhi hawataki kwa kutoona manufaa, fanyeni debate na hao wengine wanaoona itawasaidia.
Kafanya debate na Robert Amsterdam!Tunataka debate siyo kupiga magoti!
Wote watakuwepo.Msanii gani atakuwepo tujongee
"WATCH LIVE: First presidential debate of 2020 - CNN" No live event at this time. - CNNWagombea wapo zaidi ya 10, kama baadhi hawataki kwa kutoona manufaa, fanyeni debate na hao wengine wanaoona itawasaidia.
Wao ngome yao Ufipa ipo hoi bin taaban, hilo jiji limetulia kwa Bi. Tulia. Sugu fokafoka out..Chama cha Ufipa wanakuambia ndio ngome yao hiyo! Kwa ujio wa Magufuli leo ni kupigilia msumari tu. Tulia ashalichukua jiji hilo mapema asubuhi!.