Uchaguzi 2020 Sokoine, Mbeya: Magufuli asema Tulia amemsumbua sana kwa ajili ya maendeleo ya Mbeya, amuomba Joseph "Sugu" Mbilinyi kura

Uchaguzi 2020 Sokoine, Mbeya: Magufuli asema Tulia amemsumbua sana kwa ajili ya maendeleo ya Mbeya, amuomba Joseph "Sugu" Mbilinyi kura

Leo dunia inasimama kusikiliza sera sahihi kutoka chama sahihi.
 
Leo Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni katika mkoa wa Mbeya na mkutano huu utarushwa mubashara kupitia TBC, Channel ten, Star tv, ITV na mitandao mbalimbali.
Karibu.

Updates;
Uwanja umefurika wananchi wa itikadi mbalimbali na bendera zao hakika siasa siyo Uadui.

Viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili hapa uwanjani.
Siasa ni uadui kwa tafsiri ya Magufuli.
 
Magufuli hafanyii mkutano kwenye uwanja wa Sokoine mbona? Anafanyia kwenye Airport ya zamani.
Hata Mimi nimepata ukakasi.
Taarifa niliyonayo ni airport
Screenshot_20200930-084021.jpg
 
Leo Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni katika mkoa wa Mbeya na mkutano huu utarushwa mubashara kupitia TBC, Channel ten, Star tv, ITV na mitandao mbalimbali...
Natumaini na leo atawapigia magoti Wasafa.
 
Leo Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni katika mkoa wa Mbeya na mkutano huu utarushwa mubashara kupitia TBC, Channel ten, Star tv, ITV na mitandao mbalimbali...
Mkutano unafanyikia Uwanja wa ndege wa zamani, pale Sokoine Wana Mbeya wameona hapatoshi.tazama nyomi. Mbeya ni green city
 
Chama cha Ufipa wanakuambia ndio ngome yao hiyo! Kwa ujio wa Magufuli leo ni kupigilia msumari tu. Tulia ashalichukua jiji hilo mapema asubuhi!.
hata geita na mwanza chadema walijaza viwanja na ni stronghold ya CCM kwahiyo tuliza kinyeo
 
Wagombea wapo zaidi ya 10, kama baadhi hawataki kwa kutoona manufaa, fanyeni debate na hao wengine wanaoona itawasaidia.
debate bila huyo aliyeko madarakani hainogi maana ndo anayejua jinsi serikali yake ilivyofanya kazi,au mnaogopa debate kwa vile hajui english wala kiswahili fasaha
 
Chama cha Ufipa wanakuambia ndio ngome yao hiyo! Kwa ujio wa Magufuli leo ni kupigilia msumari tu. Tulia ashalichukua jiji hilo mapema asubuhi!.
Wao ngome yao Ufipa ipo hoi bin taaban, hilo jiji limetulia kwa Bi. Tulia. Sugu fokafoka out..
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Back
Top Bottom