Uchaguzi 2020 Sokoine, Mbeya: Magufuli asema Tulia amemsumbua sana kwa ajili ya maendeleo ya Mbeya, amuomba Joseph "Sugu" Mbilinyi kura

We kweli kilaza! piga hesabu kwa watu 10000 kwa malipo ya 5000 ni sh ngapi ? Utawalipa ! Endeeleeni kuweweseka.
Hivi huu ujinga wenu mpaka lini? hujui kama wanafunzi wamefuatwa na mabasi vyuoni? hujui wanafunzi wamevalishwa mafulana na makofia ya kijani? hata hujui jiji kulikuwa na maagizo kwamba lazima wafanyakazi wote waende uwanjani? Hujui kama watu wamesombwa kutoka majimboni vijijini huko? wenye CCM wanajua nguvu wanayoitumia kujaza watu, hata hukumsikiliza maam Maria Nyerere?
 
Anaemuamini Magufuli akapimwe akili
 
Wakati picha zikianza kurushwa chunguza utofauti wa sehemu foreground, middle ground na background.

Utajua CCM ni wepi, Wapitaji na wapi na Wasio interest ed ni wepi?
You are very observant,there is a clear line separating Truth and A Lie.
 
Wana Mbeya msichague huyu Mama mpiga makofi. Hana lolote.

Kama Magufuli anampenda sana, basi atumie muda huu uliobaki kumpangia kazi nyingine yoyote maana uwezo huo wa kugawagawa na kuhonga vyeo anao
 
Kuna neno limetumika kumuomba "Sugu" kura Leo limeniacha hoi.
Kweli kampeni sio mchezo wallah!
 
Uwanja wa Sokoine umefurika kwa sababu tuna jambo letu na Konde boy pamoja na Diamond Platinum hapo achilia mbali kazi nzuri iliyofanywa na malori katika kusomba watu
sio uwanja wa sokoine mkuu ni uwanja wa Airport ya zamani mjini mbeya
 
Nasikia ununuaji umevuka kiwango hadi wapiga kura tutanunuliwa, kimsingi tumefika bei acha tu maana viongozi wengi wa upinzani walianza kuunga mkono kitambo nasi tunawafuata
 
Naona leo kaenda na adabu... angeleta zile message za wasipochagua CCM hataleta maendeleo ndio angejua kuwa hajui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…