Elimu ya juu hatulimi mashamba makubwa. Just some potions for assessment mnatakiwa kujua hilo.Siasa na kujipendekeza,elimu ya vitendo imepungua,kudahili wanafunzi wengi kuzidi uwezo,kile ni chuo cha kilimo chenye eneo kubwa la wazi linalofaa kwa kilimo ila halitumiki.
GDC Sembuche. Nilihudhuria pindi moja la Algebra kama elective. Sikurudi. Alikuwa anaandika na mkono mmoja huku mwingine ukifuta. Nikawaachia jamaa wa AE wapambane.Na pikipiki yake ile ya yellow, nadhani ilikuwa Suzuki [emoji1]
Kweli kabisa mkuu; marehemu Prof Msumari alikuwa strict kwenye somo lake la soil biology. Kuna siku alitutungia maswali ya T/F halafu majibu yote akaweka TRUE, nikapasua yote. Pia kuna Prof mmoja wa irrigation engineering anaitwa Prof Thadei, huyu naye notes zake ni zile za miaka ya 70; naye amekariri hizo hizo hawezi kubadilisha kitu. Tatizo syllabus ya SUA imeorodhesha tu mambo ambayo wanafunzi wanapaswa kufundishwa lakini haiendi deep zaidi kama zile syllabuses za vyuo vidogo. Kwa hiyo, lecturer anafundisha kile anachojua tu. Lecturers wanaweza wakawa wanafundisha somo hilo hilo lakini utakuta kila mmoja anafundisha vitu tofauti kabisa. Ushahidi ni katika somo la botany ambalo lilifundishwa na Prof Temu na Prof Minjas katika madarasa tofauti. Notes za Temu zilikuwa deep wakati zile za Minjas zilikuwa shallow and narrow.

Temu RPC anakufundisha mpaka unaelewa. Mliwahi andaa herbarium? Ilikuwa balaa.
Simkumbuki. Sisi tulifanya na Prof. Temu. Ilikuwa ile ya kukausha na moto lakini majani yasiungue. Ilikuwa mnapeana zamu kulinda herbarium. Wakati nimejipumzisha kidogo jamaa wakaniita kwamba herbarium yangu inaungua. Kilichomoka speed hadi nikapoteza simu.Mkuu Mukimbiri umenikumbusha mbali, herberium tuliandaa na lecturer mmoja alikuwa anaitwa Dr Mnyanziza, kama unamkumbuka.
Du! Pole sana mkuu. Sio kwa mchomoko huo aisee. Sisi kipindi kile mfumo wa ukaushaji wa majani likuwa tofauti....ulikuwa unaweka mmea kwenye file na ku-press na kifaa fulani hivi unauacha unakauka wenyewe taratibu.Simkumbuki. Sisi tulifanya na Prof. Temu. Ilikuwa ile ya kukausha na moto lakini majani yasiungue. Ilikuwa mnapeana zamu kulinda herbarium. Wakati nimejipumzisha kidogo jamaa wakaniita kwamba herbarium yangu inaungua. Kilichomoka speed hadi nikapoteza simu.
Kwahiyo hilo eneo kubwa hapo EMC na mazimbu huwa ni la kazi gani?Elimu ya juu hatulimi mashamba makubwa. Just some potions for assessment mnatakiwa kujua hilo.
Duh sua lini ikawaza kupanua ujenzi?Ni kwa ajili ya kupanulia ujenzi wa chuo na lingine linatumika kama puffer zone inayotenganisha mashamba ya wenyeji.
Ujenzi utapanuliwa tu hapo baadaye, hasa idadi ya kozi itakapoongezeka. Badala ya kuja kuwahamisha wananchi, watatumia ardhi yao bila tatizo.
Mkuu una uhakika hakuna ujenzi unataka AU uliofanyika mazimbu au EMC?
Pole sana [emoji23][emoji23]GDC Sembuche. Nilihudhuria pindi moja la Algebra kama elective. Sikurudi. Alikuwa anaandika na mkono mmoja huku mwingine ukifuta. Nikawaachia jamaa wa AE wapambane.
Jamani acheni uongo,hivi mnaongelea Sua ipi nyie watu?Chuo kigumu sana, yaani ukiingia SUA utasoma tu utake usitake, mkionekana wanafunzi mnazurura sana basi ujue mnajitafutia balaa za assignment na test za kila jumapili ili mtulie kusoma.
Hebu tumwagie nondo mkuu. Inaonekana una nondo za kutosha kuhusu elimu inayotolewa SUA kwa sasa.Jamani acheni uongo,hivi mnaongelea Sua ipi nyie watu?
Mimi ninaijua sua kwa kukaa morogoro miaka zaidi ya 7,,
Kuna elimu inatolewa ni miyeyusho tu.
Sua ya sasa ni tofauti na miaka kikiwa chuo cha kilimo,sasa hivi ni chuo cha kisiasa,na hizi sifa za uongo zimefanya wale viongozi wamejisahau.
Labda uje useme ni kozi zipi,ila kama ni za huku mazimbu tusidanganyane wandugu.