Sokoine University of Agriculture (SUA) special Thread

Sokoine University of Agriculture (SUA) special Thread

Hebu tumwagie nondo mkuu. Inaonekana una nondo za kutosha kuhusu elimu inayotolewa SUA kwa sasa.
Huenda jamaa anakutana na wanafunzi mtaani anapiga nao story lakini bado elimu ya SUA ni bora . Hata huko mazimbu anako kusema.
 
Jamani acheni uongo,hivi mnaongelea Sua ipi nyie watu?
Mimi ninaijua sua kwa kukaa morogoro miaka zaidi ya 7,,

Kuna elimu inatolewa ni miyeyusho tu.
Sua ya sasa ni tofauti na miaka kikiwa chuo cha kilimo,sasa hivi ni chuo cha kisiasa,na hizi sifa za uongo zimefanya wale viongozi wamejisahau.

Labda uje useme ni kozi zipi,ila kama ni za huku mazimbu tusidanganyane wandugu.
Kwa hiyo unaijua SUA kwa "kukaa Morogoro miaka 7" au unaijua SUA kwa kusoma hapo SUA kwa miaka 7?
 
Huenda jamaa anakutana na wanafunzi mtaani anapiga nao story lakini bado elimu ya SUA ni bora . Hata huko mazimbu anako kusema.
Jidanganye,kuna watu wako wiki ya 8 semester hawajawahi kumuona lecturer darasani,na wanatakiwa wiki ya 16 hivi wafanye UE,hapo unasema kuna elimu bora?

Njoo field uone uozo.
 
Jidanganye,kuna watu wako wiki ya 8 semester hawajawahi kumuona lecturer darasani,na wanatakiwa wiki ya 16 hivi wafanye UE,hapo unasema kuna elimu bora?

Njoo field uone uozo.
Hii ni hatari sana aisee! Sasa wanalipwa mishahara kwa kazi gani? Ina maana sasa SUA imekuwa kama shule ya kata?
 
Sidhani kama anaijua Freedom Square huyu [emoji2][emoji2]
Pale ni hatari jamani
Unakutana na matofali ohooo

Si stationary kwa kassim,unit 1 up to 6

Sua acha kabisaa ila sio chuo kigumu kma wengi wanavodhani

Ila tatizo wanafunzi wengi hatupendi kusoma
 
Pale ni hatari jamani
Unakutana na matofali ohooo

Si stationary kwa kassim,unit 1 up to 6

Sua acha kabisaa ila sio chuo kigumu kma wengi wanavodhani

Ila tatizo wanafunzi wengi hatupendi kusoma
Matofali na Kassim hao wako serious na kazi zao, na wanajulikana.

Njoo hapa EMC uone watu wanavyogawa pepa kwa malipo ya chupi.
 
Mmmmmhhh mbona mapya hya jmni

Ebu tutajie basi
Mkuu naona huruma kuharibu kazi za watu hapa hadharani,ndio maana ulipowataja hao nimesema wako serious na wanajulikana kwa kazi zao nzuri,sio hao tu kuna wengine wazuri pia wanafanya kazi vema tu.

Shida ni kuwa kuna kundi dogo linaharibu na kuchafua hiki chuo,na kibaya zaidi ukiripoti hata kwa uongozi wa chuo hawachukui hatua yoyote,eti mpaka takukuru au mamlaka za nje ya chuo zije ndio wanajifanya kufatilia.

Sua ni chuo kizuri,ila ni kwa kozi za kilimo na vet hapa,nae kidogo wawe makini rushwa inanuka,ila kule solomon mahlangu hakuna elimu kabisa,hili wasidanganye kabisa,naalika TCU waende waone maajabu yanayoendelea kule mazimbu.
 
niombe wakuu, ambao mnaujuzi wa haya mambo, tukutane wasap, tusaidiane, Naamini kujifunza hakuna mwisho, Naamini katika umoja pia, jiunge group wasap hili tushare ideas, [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]Habari wakuu, nimeunda group mahususi kwa ajili ya scholarship tips, University admission na all academically related issues, Kama upo interested, pls join hapa[emoji116][emoji116][emoji120]

TISS wako online huku, jitumieni hizo namba za simu.
 
Matofali na Kassim hao wako serious na kazi zao, na wanajulikana.

Njoo hapa EMC uone watu wanavyogawa pepa kwa malipo ya chupi.
Ujenzi utapanuliwa tu hapo baadaye, hasa idadi ya kozi itakapoongezeka. Badala ya kuja kuwahamisha wananchi, watatumia ardhi yao bila tatizo.
Wale wanangu wa SUA tulio maliza SUA kwa mbinde tujuane apa jamaan.Yan toka first yr ni Sup mpka third yr.Kwakwel siamini kma nilimalzaga aise.Cz ilikua noma yan mpka natokea kwenye list of graduant nshasota xna.Mpka nahisi nimepata psychological problems cz mara kwa mara naotaga nina Sup so nko na wanangu wa nguvu tunatia msuli Ili tukapge sup yetu.
giphy.gif
Nilisoma SUA tulianza kozi yetu mtu 20 ...fist year to second year wakadisco 5 ....tukagraduate 10 live watano Waka carry Kwa sababu ya kushindwa kuchomoa tuta la semister ya mwisho ......wakaenda kuchomoa mwaka unaofuata baada ya miaka 3
 
Kwahiyo huu ndio ubora wa elimu ya chuo kikuu?
 
Back
Top Bottom