Huenda jamaa anakutana na wanafunzi mtaani anapiga nao story lakini bado elimu ya SUA ni bora . Hata huko mazimbu anako kusema.Hebu tumwagie nondo mkuu. Inaonekana una nondo za kutosha kuhusu elimu inayotolewa SUA kwa sasa.
Kwa hiyo unaijua SUA kwa "kukaa Morogoro miaka 7" au unaijua SUA kwa kusoma hapo SUA kwa miaka 7?Jamani acheni uongo,hivi mnaongelea Sua ipi nyie watu?
Mimi ninaijua sua kwa kukaa morogoro miaka zaidi ya 7,,
Kuna elimu inatolewa ni miyeyusho tu.
Sua ya sasa ni tofauti na miaka kikiwa chuo cha kilimo,sasa hivi ni chuo cha kisiasa,na hizi sifa za uongo zimefanya wale viongozi wamejisahau.
Labda uje useme ni kozi zipi,ila kama ni za huku mazimbu tusidanganyane wandugu.
Kusoma miaka 7 amekua VET huyu?. Huyu anakutana na vijana mtaani ndo anasema anaijua SUAKwa hiyo unaijua SUA kwa "kukaa Morogoro miaka 7" au unaijua SUA kwa kusoma hapo SUA kwa miaka 7?
Sidhani kama anaijua Freedom Square huyu [emoji2][emoji2]Kusoma miaka 7 amekua VET huyu?. Huyu anakutana na vijana mtaani ndo anasema anaijua SUA
[emoji3][emoji3][emoji3] hatari saana.Sidhani kama anaijua Freedom Square huyu [emoji2][emoji2]
Jidanganye,kuna watu wako wiki ya 8 semester hawajawahi kumuona lecturer darasani,na wanatakiwa wiki ya 16 hivi wafanye UE,hapo unasema kuna elimu bora?Huenda jamaa anakutana na wanafunzi mtaani anapiga nao story lakini bado elimu ya SUA ni bora . Hata huko mazimbu anako kusema.
Hii ni hatari sana aisee! Sasa wanalipwa mishahara kwa kazi gani? Ina maana sasa SUA imekuwa kama shule ya kata?Jidanganye,kuna watu wako wiki ya 8 semester hawajawahi kumuona lecturer darasani,na wanatakiwa wiki ya 16 hivi wafanye UE,hapo unasema kuna elimu bora?
Njoo field uone uozo.
Pale ni hatari jamaniSidhani kama anaijua Freedom Square huyu [emoji2][emoji2]
Endeleeni kudanganyana,ipo siku mtatoka kwenye kifungo cha "sua ni ngumu".Kwa hiyo unaijua SUA kwa "kukaa Morogoro miaka 7" au unaijua SUA kwa kusoma hapo SUA kwa miaka 7?
Matofali na Kassim hao wako serious na kazi zao, na wanajulikana.Pale ni hatari jamani
Unakutana na matofali ohooo
Si stationary kwa kassim,unit 1 up to 6
Sua acha kabisaa ila sio chuo kigumu kma wengi wanavodhani
Ila tatizo wanafunzi wengi hatupendi kusoma
Mmmmmhhh mbona mapya hya jmniMatofali na Kassim hao wako serious na kazi zao, na wanajulikana.
Njoo hapa EMC uone watu wanavyogawa pepa kwa malipo ya chupi.
Mkuu naona huruma kuharibu kazi za watu hapa hadharani,ndio maana ulipowataja hao nimesema wako serious na wanajulikana kwa kazi zao nzuri,sio hao tu kuna wengine wazuri pia wanafanya kazi vema tu.Mmmmmhhh mbona mapya hya jmni
Ebu tutajie basi
TISS wako online huku, jitumieni hizo namba za simu.niombe wakuu, ambao mnaujuzi wa haya mambo, tukutane wasap, tusaidiane, Naamini kujifunza hakuna mwisho, Naamini katika umoja pia, jiunge group wasap hili tushare ideas, [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]Habari wakuu, nimeunda group mahususi kwa ajili ya scholarship tips, University admission na all academically related issues, Kama upo interested, pls join hapa[emoji116][emoji116][emoji120]
Matofali na Kassim hao wako serious na kazi zao, na wanajulikana.
Njoo hapa EMC uone watu wanavyogawa pepa kwa malipo ya chupi.
Ujenzi utapanuliwa tu hapo baadaye, hasa idadi ya kozi itakapoongezeka. Badala ya kuja kuwahamisha wananchi, watatumia ardhi yao bila tatizo.
Nilisoma SUA tulianza kozi yetu mtu 20 ...fist year to second year wakadisco 5 ....tukagraduate 10 live watano Waka carry Kwa sababu ya kushindwa kuchomoa tuta la semister ya mwisho ......wakaenda kuchomoa mwaka unaofuata baada ya miaka 3Wale wanangu wa SUA tulio maliza SUA kwa mbinde tujuane apa jamaan.Yan toka first yr ni Sup mpka third yr.Kwakwel siamini kma nilimalzaga aise.Cz ilikua noma yan mpka natokea kwenye list of graduant nshasota xna.Mpka nahisi nimepata psychological problems cz mara kwa mara naotaga nina Sup so nko na wanangu wa nguvu tunatia msuli Ili tukapge sup yetu.
Kwahiyo huu ndio ubora wa elimu ya chuo kikuu?Nilisoma SUA tulianza kozi yetu mtu 20 ...fist year to second year wakadisco 5 ....tukagraduate 10 live watano Waka carry Kwa sababu ya kushindwa kuchomoa tuta la semister ya mwisho ......wakaenda kuchomoa mwaka unaofuata baada ya miaka 3
Hiyo nenda kasome,hawana mbambamba hao,japo yule mzee ametulia kusimamia haki.Naomba kwa wale walio wahi soma horticulture sua, wanipe uzoef natarajia nikapige hiyo kozi mwaka huu
Sawa mkuuHiyo nenda kasome,hawana mbambamba hao,japo yule mzee ametulia kusimamia haki.