Sokomoko la zawadi ya gari ya Rais mstaafu Mwinyi

Nobody begrudges him getting a sedan. We just think he should buy himself one. And what if he just loves suvs and continues to use his vieiti?

Unamuonea Kuhani. He is a good guy.

Amandla...
 
Wakati hizo sheria zinatungwa, Mama Samia Hassan alijua kuwa atakuja kuwa Rais? Hata mtoto wako akija kuwa Rais Mstaafu atapewa nyumba na gari za serikali.
Ulimsikia Rais kweli?

Anachopewa si kwa mujibu wa kanuni....

Gari hilo anamilikishwa iwe mali yake kwa gharama ya kodi yako na yangu Mimi...

Ni zawadi yake ya "Birthday". Sasa utampaje mtu zawadi halafu iwe ni mali ya serikali tena?

Huu ndiyo mjadala na hili ndilo tatizo..
 
Yes, zizingatiwe hizo sina tatizo nazo..

Serikali kutoa zawadi ya "birthday" ya gari aina ya Mercedes Benz lenye thamani ya karibu bilioni kadhaa ni kufuata kanuni za kumtunza Rais Mstaafu wa nchi...?
Mkuu, ninadhani amebadilishiwa gari kutoka lile la zamani na kupewa jipya litakaloendana na umri pamoja na hali ya afya yake. Kumbuka kuwa huyu ni mzee wa miaka zaidi ya 90.

Kinachokusumbua wewe ni neno "zawadi" bila shaka.
 
Nobody begrudges him getting a sedan. We just think he should buy himself one. And what if he just loves suvs and continues to use his vieiti?

Unamuonea Kuhani. He is a good guy.

Amandla...
If he loves his SUV that much that he can’t separate himself from it then he should say ‘thanks, but no thanks’ and give it [the sedan] back.

As simple as that!
 
Jinyonge
 
Mkuu matatizo yanayopigiwa kelele kama haya suluhisho lake ni katiba mpya na mabadiliko ya kimfumo, hivyo kujengeana majumba, kupeana magari, kulindana wasishtakiwe baada ya kutoka madarakani... "tuwaache wazee wapumzike!!" Bila kubadilika kwa katiba hizi ni kelele tupu. Tumwache mzee wetu ale birthday yake vizuri
 
Maskini wataendelea kufa na vinono vitaliwa na matajiri na wanasiasa milele na milele. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan muda mwingine nawaza why Jah anaruhusu haya?
 
Mkuu, ninadhani amebadilishiwa gari kutoka lile la zamani na kupewa jipya litakaloendana na umri pamoja na hali ya afya yake. Kumbuka kuwa huyu ni mzee wa miaka zaidi ya 90.

Kinachokusumbua wewe ni neno "zawadi" bila shaka.
Watoe "PRESS RELEASE" ya Ikulu warekebishe hili...

Otherwise, Rais Samia alisikika vyema kwa kinywa na sauti yake mwenyewe akisema "serikali itampa "zawadi ya birthday" na siyo kumbadilishia gari...

After all ingekuwa ni kubadilisha tu, kusingekuwa na haja ya kulisema kwa mbwembwe na tambo vile mbele ya kamera za TV huku ikijulikana kuwa hiyo ni haki yake huyu Mzee...

In my opinion, Mama anaanza kulewa sifa mapema sana hata zinaanza kumfanya aanze kufanya mambo mengine kwa sifa huku akiharibu...
 
Yes. I agree with you..

Let's fight for "katiba mpya" using all means possible...
 
Mkuu matatizo yanayopigiwa kelele kama haya suluhisho lake ni katiba mpya na mabadiliko ya kimfumo, hivyo kujengeana majumba, kupeana magari,
Mkuu, ninadhani amebadilishiwa gari kutoka lile la zamani na kupewa jipya litakaloendana na umri pamoja na hali ya afya yake. Kumbuka kuwa huyu ni mzee wa miaka zaidi ya 90.

Kinachokusumbua wewe ni neno "zawadi" bila shaka.
Wengi wetu tafsiri zetu ni za neno kwa neno pasi kujipa muda wa kutafakari... wengi wetu tumeona neno "zawadi" pekee kuliko neno "kubadilishiwa" kisa TUONEKANE TUMELETA MJADALA WA MAANA!!!
 
Acha propaganda za kitoto na picha zako za kuokota okota mitandaoni, ni wapi umeona kuwa mwinyi amepewa gari la kiasi hicho ? Hujui lakini hata gari la rais mwenyewe halijafika thamani hiyo. Mataga mna kiwewe sana !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…