Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Watanzania tuna midomo sana ,haya mambo yako kisheria,kila baada ya miaka 5 ,rais mstaafu hubadilishiwa gari,hivyo badala ya kupewa kilimo kwanza ambalo. haliendani na uzee wake,mzee mwenyewe aliomba apewe gari ya chini hivyo kapewa Benz ambayo bei yake haitofautiani sana na lile dude V8 la kibabe.alichokosea mama ni kumpa kwa kutumia kama kiki ya kisiasa ,kuwananga mataga ambao wanaona kama mwinyi yuko upande wao,bongo siasa zimetuelemea kama pombe kwa mlevi,hata kwenye soda tunatia k-vant