Sokomoko la zawadi ya gari ya Rais mstaafu Mwinyi

pamoja na mambo ya zawadi, lkn tusisahau kukisoma kitabu hicho kwani ukikisoma kinaongeza kinga kwenye akili.
 
Kwakua gari limekuja limeishaandaliwa inamaanisha kwamba kamati ya maandalizi yenye wajumbe welevu na shupavu ilipendekeza na kuamua km Serikali. Vinginevyo mama angetoa agizo mzee apatiwe gari hiyo ingekua interest ya mama mwenyewe.
Nashawishika kuamini ivi
 
Mbona kuna watu walijengewa nyumba za mabilioni na hatukusikia kelele?

Na vile vikurugenzi ndugu zake Magu walionunua magari ya bei hizo inakuaje? Mwendazake aliwarudishia hii imekaaje?
 

Wamempa moja wapo ya zile benz za SADC
 
Kwenye hili sakata nimegundua watu wanaomchukia Mother wapo wa makundi 3:
1. Wasiotaka Rais mwanamke, hawa ni jamaa wasiotaka kukubali kuwa dunia imebadilika sana
2. Watanganyika wanaochukia kutawaliwa na Mzanzibari, hawa ni wengi zaidi
3. Wakristo wasiopenda kutawaliwa na mwislamu, hawa wengi vile vile.
Sababu zingine ndogo ndogo na ni wachache ni vyama vya upinzani na watu walioumizwa sana na kifo cha JPM
 
Aliyekuwa anauza jogoo alikuwa ni kuongozi wa kitaifa?
Lakini pia alinunua hakutoa zawad,

Sasa.mwinyi kapewa gari, je yeye katoa mikioni mia saba ilintuone kazidisha bei ya gari?
 
Katika majina matatu ya mama inawezekana hilo la Hassan.
 
Kwani hilo Benzi ni zawadi ya Samia kwa Mwinyi?
Mwinyi hakutakiwa kuzawadiwa gari bali alitakiwa kubadilishiwa gari, hata kama lingekuwa la tiluoni moja lakini libaki kama mali ya serikari
 
Hivi zile Nyumba walizojengewa Marais Wastaafu na Gari kipi kinathamani zaidi? Hiyo mbona kawaida tu.

Nadhani tuache kujaji vitu ambavyo hatuwezi kuzuia kama Rais ameamua.
 
Pia last year mwenda zake aliwapa marais wastaafu nyumba,hakuna aliyehoji hilo jambo,
aligawa hela kila kona hakuna aliyehoji matumizi mabaya ya fedha.

Mama kazi IENDELEE.
 
''Yes all people of this republic we are equal but some people are more equal'' Hii ni kanuni ya kimaumbile hatuwezi kuikwepa,hata huko mbiguni hii kanuni inafanya kazi even angel's are not equal, historia ya mbinguni inasema shetani alikuwa akiitwa Lucifer alikuwa ni maraika mwenye daraja ya juu kuliko wengine lakini hata yeye alikuwa chini ya maraika wengine kwa sifa zao kama maraika Gabriel. Na hapo ndipo chemichemi ya husuda,wivu na chuki iliko zaliwa,shetani alihisi kuhitaji heshima zaidi ya aliyokuwa nayo na ndio chanzo cha kumuasi Mungu.
baada ya kusema hayo watanzania wenzangu tambueni kuwa sisi sote tuko sawa kwa kuwa sisi sote ni binadamu,lakini wenzetu wengine wako sawa zaidi kulingana na madaraja yao katika kulitumikia taifa, tuliwatwika mizigo hiyo wenyewe hatukuwa tumebeba sawa,walibeba zaidi kwa niaba yetu,iweje sasa tutapike nyongo zinazo weza kumtapisha mwengine kwa harufu yake yenye uozo wa chuki,husuda na wivu. Kuna ubaya gani yule mzee wa watu kupewa gari inayo mfaa kwa umri wake,isitoshe ni moja ya stahiki zake!
 
Ndo maana sasa naamini hata nyumbu anawazidi akili!

Mimi sikuhoji hela alizokuwa anagawa Rais Magufuli?

Huyu alieandika hivi ni nani?

View attachment 1778145
Sasa 450 m mbona unaziona si mali kitu wakati 38 m zilikuuma!? Au matumizi ya 38 m yalifanya jambo lisilo na manufaa kwa taifa lakini 450 zimefanya jambo muhimu, zito, la lazima na manufaa kwa taifa!?
 
Kuna mwamba aliwahi kugawa mama yake in exchange of a cock.

Mambo ya wanasiasa haya
 
Kama kipi mfano?,taja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…