Solution ni kuhama, hakuna kitu inaitwa Formal na Informal blessing

Solution ni kuhama, hakuna kitu inaitwa Formal na Informal blessing

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam, Shalom!!!

Ulimwengu wa sasa una hadaa nyingi sana,

Watu wanaandika waraka, terminology nyiiingi, chenga za kutosha kufunika dhambi.

Marriage/ NDOA, ukitaja tu neno Hilo picha Inakuja ni muunganiko wa Mwanaume na Mwanamke Kwa Tendo TAKATIFU.

Leo wanakuja wahuni wanasema Eti, same sex mar...!!!

Marriage ni kitu kitakatifu, same sex kamwe haiwezi kuwa NDOA/ Marriage.

Wanaokwenda mbali zaidi na kutuambia kuwa Kuna baraka Rasmi( Formal blessing) na Baraka zisizo Rasmi ( Informal blessing).

Hakuna popote katika Neno la Mungu utakuta vitu vya namna hiyo.

Blessing ni blessing./ Baraka ni Baraka.

Curse ni curse/ LAANA ni laana!!

Baraka zisizo Rasmi ni Politics, siasa zinazoingizwa katika Imani.

Ndugu zangu mlioko huko mmekamatika, kimbieni, Shetani mzima mzima ameingia.

Kupinga Si solution, huwezi kumuelekeza tajiri namna ya kutumia pesa zake ilhali we ni kibarua.

Hameni, Hameni hameni 🙏🙏

Mungu wa Mbinguni awabariki.

Karibuni.
 
Waje kwako msabato usiyekula nguruwe, usiyekunywa soda, na unaedai pipi zinatengenezwa na damu za watu kuzimu?

Amkeni achaneni na dini.
Waje katika Imani,

Waje katika Maisha ya utakatifu,

Mbinguni hatuingii Kwa tiketi ya dini.

Wasabato, Islam, catolicano vikundi hivyo havitambuliki Mbinguni.

Bali WALIOOKOKA, walioosha mavazi Yao katika DAMU ya mwanakondoo Yesu Kristo.

Wenye kuishi maisha ya utakatifu.

Amen
 
Salaam, Shalom!!!

Ulimwengu wa sasa una hadaa nyingi sana,

Watu wanaandika waraka, terminology nyiiingi, chenga za kutosha kufunika dhambi.

Marriage/ NDOA, ukitaja tu neno Hilo picha Inakuja ni muunganiko wa Mwanaume na Mwanamke Kwa Tendo TAKATIFU.

Leo wanakuja wahuni wanasema Eti, same sex mar...!!!

Marriage ni kitu kitakatifu, same sex kamwe haiwezi kuwa NDOA/ Marriage.

Wanaokwenda mbali zaidi na kutuambia kuwa Kuna baraka Rasmi( Formal blessing) na Baraka zisizo Rasmi ( Informal blessing).

Hakuna popote katika Neno la Mungu utakuta vitu vya namna hiyo.

Blessing ni blessing./ Baraka ni Baraka.

Curse ni curse/ LAANA ni laana!!

Baraka zisizo Rasmi ni Politics, siasa zinazoingizwa katika Imani.

Ndugu zangu mlioko huko mmekamatika, kimbieni, Shetani mzima mzima ameingia.

Kupinga Si solution, huwezi kumuelekeza tajiri namna ya kutumia pesa zake ilhali we ni kibarua.

Hameni, Hameni hameni 🙏🙏

Mungu wa Mbinguni awabariki.

Karibuni.
Ukishaanza kuabudu Mungu ambaye ana contradiction, usitegemee huko mbele kwenye ibada yako uoise contradiction.

The problem of evil shows the all knowing, all capable and all loving God does not exist.

Therefore, belief in any God with these characteristics (Jehovah, Allah, etc) is belief in a nonexistent God, whose idea starts with a contradiction.

How do you expects these faiths, Christianity, Judaism, Islam, etc, to not be self contradicting?
 
Ukishaanza kuabudu Mungu ambaye ana contradiction, usitegemee huko mbele kwenye ibada yako uoise contradiction...
Hakuna contradiction katika NENO la Mungu.

Tatizo lenu, ni mnataka kuelewa vitu coded vilivyofichwa,

Imeandikwa, kusoma watasoma, lakini hawataelewa,

Kusikia watasikia lakini hawatafahamu.

Kufungua codes za BIBLIA unamhitaji Roho mtakatifu akusaidie kufungua seals zake.

Umekuwa mpotoshaji sababu huelewi.

Tuliojazwa Roho mtakatifu tunaelewa Yote, na Neno la Mungu halipingani.

Karibu.
 
Ni kulainisha kondoo mzoee taratibu.

Iinformal blessing ni moja ya njia ya kulainisha akili ili ikija ile ya alichokiunganisha mwanadamu asikitenganishe kipokelewe bila kelele nyingi.

Mgonjwa akiugua muda mrefu sana, siku anafariki uchungu wa ndugu si mkali kama akifa ghafla.

Watu hawawezi kurupuka tu na kusema ndoa za jinsia moja ni halali.

Njia pekee ya kupona ni kumuondoa mhusika au kugoma bila unafiki.
 
Hizi dini ni miyeyusho mitupu! Tumetupa dini zetu za asili,tumekimbilia dini za wahuni!.
Hawa wanabariki watu wanaokulana vinyeo! Hawa wanaua wenzao ili wakapewe nyapu za bure uko mbinguni [emoji3][emoji3] hawa jamaa na hizi dini zao ni usenge mtupu
Achana na dini za mchongo,

Mwamini Yesu Kristo,ujazwe Roho mtakatifu akuongoze, akufundishe, akufunulie njia sahihi ya kuiendea,

Uishi maisha ya utakatifu.

Tunakoelekea, hata kutaja tu Jina Yesu utakamatwa au kufungwa JELA.

Kamata Imani, hata mkiwa Watatu katika familia Yako, Hilo ni Kanisa tosha.

Ubarikiwe.

Amen
 
Hakuna contradiction katika NENO la Mungu.

Tatizo lenu, ni mnataka kuelewa vitu coded vilivyofichwa...
Ukiona neno linalosemwa kuwa la Mungu linakuwa coded, watu wanahitaji tafsiri, wengine hawaelewi etc, ujue hakuna neno la Mungu hapo, hizo ni siasa za watu tu.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kwa sifa zake hizo, kama angekuwapo, angefanya habari zake zijulikane, bila utata, kwa viumbe wote, popote, wakati wowote.

Ukiona utata katika neno linalosemwa kuwa la Mungu tu, ujue una deal na neno la watu. Mungu hatakiwi kuwa na utata wowote katika kumueleza.

Hata huu mjadala unaonesha Mungu hayupo.

Angekuwepo, kila mtu angejua hilo bila utata mpaka mjadala huu usingewezekana kuwepo.
 
Ni kulainisha kondoo mzoee taratibu.

Iinformal blessing ni moja ya njia ya kulainisha akili ili ikija ile ya alichokiunganisha mwanadamu asikitenganishe kipokelewe bila kelele nyingi....
Asee wanaanzia mbali sana.

Shaiz hata humu jamvini, ukianziisha thread kukemea vitendo hivyo, Uzi unaungwa,

Shetani amejipanga.

Lakini, as long as Raia wa Mbinguni tupo hapa duniani, tutaendelea kuwaumbua na kufichua dhambi.

Amen
 
Ukiona neno linalosemwa kuwa la Mungu linakuwa coded, watu wanahitaji tafsiri, wengine hawaelewi etc, ujue hakuna neno la Mungu hapo, hizo ni siasa za watu tu.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kwa sifa zake hizo, kama angekuwapo, angefanya habari zake zijulikane, bila utata, kwa viumbe wote, popote, wakati wowote.

Ukiona utata katika neno linalosemwa kuwa la Mungu tu, ujue una deal na neno la watu. Mungu hatakiwi kuwa na utata wowote katika kumueleza.

Hata huu mjadala unaonesha Mungu hayupo.

Angekuwepo, kila mtu angejua hilo bila utata mpaka mjadala huu usingewezekana kuwepo.
Ndo nakwambia,

Huwezi elewa Neno la Mungu Ukiwa na huo Ujinga uitwao Elimu ya Dunia kureason na kutumia HEKIMA za hapa chini.

Mungu hachunguziki, kubali Kutoa Ujinga kichwani, umpokee Roho MTAKATIFU akufundishe.

Amen
 
Mtachanganyikiwa sana , safi sana.
Hakuna kuchanganyikiwa.

Waliokuwa wanaambiwa juu ya Pope ni anaongozwa na Roho ya mpinga kristo, now uchaguzi uko kwao.

SHERIA na Amri za Mungu hazibadiliki, Jana Leo na hata milele.

USHOGA ni ushetani, kamwe haubarikiwi, mtu akubali kuacha atubu na anasamehewa na anafundishwa maisha ya utakatifu.

Kamwe Dhambi haibarikiwi Kwa Uongo na Hila ya kitu kinachoitwa "Informal blessing".
 
Waje kwako msabato usiyekula nguruwe, usiyekunywa soda, na unaedai pipi zinatengenezwa na damu za watu kuzimu?

Amkeni achaneni na dini.
Sion tatizo kwenye makatazo yao japo yamezongwa na ulaghai ila vielelezo ulivyoviorodhesha sio vizuri ki afya.
 
Back
Top Bottom