Salaam, Shalom!!!
Ulimwengu wa sasa una hadaa nyingi sana,
Watu wanaandika waraka, terminology nyiiingi, chenga za kutosha kufunika dhambi.
Marriage/ NDOA, ukitaja tu neno Hilo picha Inakuja ni muunganiko wa Mwanaume na Mwanamke Kwa Tendo TAKATIFU.
Leo wanakuja wahuni wanasema Eti, same sex mar...!!!
Marriage ni kitu kitakatifu, same sex kamwe haiwezi kuwa NDOA/ Marriage.
Wanaokwenda mbali zaidi na kutuambia kuwa Kuna baraka Rasmi( Formal blessing) na Baraka zisizo Rasmi ( Informal blessing).
Hakuna popote katika Neno la Mungu utakuta vitu vya namna hiyo.
Blessing ni blessing./ Baraka ni Baraka.
Curse ni curse/ LAANA ni laana!!
Baraka zisizo Rasmi ni Politics, siasa zinazoingizwa katika Imani.
Ndugu zangu mlioko huko mmekamatika, kimbieni, Shetani mzima mzima ameingia.
Kupinga Si solution, huwezi kumuelekeza tajiri namna ya kutumia pesa zake ilhali we ni kibarua.
Hameni, Hameni hameni 🙏🙏
Mungu wa Mbinguni awabariki.
Karibuni.