Soma Hapa Ujumbe Mzito Na wa Kizalendo Kutoka Kwa Jeshi La Polisi

Fanya kilicho sahihi, hata kama kitakuingiza matatizoni lakini fanya kitu sahihi.

Don't choose the EASY thing to do, choose the RIGHT thing to do.
What goes around comes around.
Mimi natetea Taifa Langu ambalo linaongozwa vyema sana na Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
 
Mimi natetea Taifa Langu ambalo linaongozwa vyema sana na Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
Haliongozwi vyema na wewe unajua.

Lingekuwa linaongozwa vyema kama unavosena usingekuwa unatumia nguvu nyingi kuanzisha ma-uzi kila siku humu ya kumsifia-sifia kila saa.

Labda udanganye watoto.
 
Haliongozwi vyema na wewe unajua.

Lingekuwa linaongozwa vyema kama unavosena usingekuwa unatumia nguvu nyingi kuanzisha ma-uzi kila siku humu ya kumsifia-sifia kila saa.

Labda udanganye watoto.
Situmii nguvu nyingi wala ya kupita kiasi.bali naandika mazuri na makubwa aliyoyafanya Rais wetu ambayo ni mengi na hamuwezi kumaliza kuyasoma nikisema niyaandike hapa jukwaani
 
🤣🤣🤣🤣
Watu waliandamana enzi za Magufuli jabari lililoogopwq mpaka nw Wazungu itakuwa enzi hizi. Polisi walinde maandamano endapo zitatokea vurugu hatua stahiki wachukue. Kwanini wanatisha watu hivi? Watu waandamane wakimaliza maandamano watarudi Unafiki ni mzigo mzito sana
 
Mbowe amefanikiwa kuwaandamanisha polisi nchi nzima, kweli akili ku mkichwa.
 
Maandamano yamepigwa marufuku.sasa wewe jifanye kichwa maji utakiona cha mtema kuni ukipeleka pua yako barabarani
 
Situmii nguvu nyingi wala ya kupita kiasi.bali naandika mazuri na makubwa aliyoyafanya Rais wetu ambayo ni mengi na hamuwezi kumaliza kuyasoma nikisema niyaandike hapa jukwaani
Hayo mambo "mazuri na makubwa" aliyoyafanya kama ni kweli tungeyajua tuu broo, kitendo cha wewe hadi kuja humu JF na kuanzisha ma-uzi inamaanisha hana influence.

Kizuri kinaonekana tuu, hakihitaji promo sana.
 
Kwahiyo katiba ya nchi haiheshimiwi na wewe mwamba unaona fresh kabisa yani..unyama kisa 20k???
 
WAPO KULINDA WANAOTUMA KUTEKA NA KUUA
 
Niwaombe wadau wote wenye uzoefu wa gharama za kutibu majeraha yatokanayo na vurugu na vipigo mbalimbali.

1-Kupasuliwa fuvu.....200,000/=
2-Kuvunjwa taya na gongo la kipolisi....100,000(kianzio)
3-Kupasuliwa bandama....200,000/=
4-Kutovugwa ini,kongosho,figo....150,000 halafu dialysis 150,000 kwa wiki
5-Kuvunjwa senta bolt ya kiuno...25000 kianzio
6-Kutobolewa jicho moja....50,000 kianzio
7-Kung'olewa jino....5000
8-Kupasuliwa yai za kende....50,000
9-Kupasuliwa chembe ya moyo...
10-Kuvunjika shingo...
11-Kuteguliwa uti wa mgongo....
12-Kupasuliwa ngoma ya sikio kwa mbata...5000 ya file
13-Kupasuliwa taya na kitako cha bunduki...20,000
14-kutapishwa kisusio...5000
15-Kutoneshwa busha/mshipa...bure
16-Kugeuzwa kisahani cha goti...150,000
17-kutoneshwa /kupasuliwa tezi dume bure
18-Kutobolewa kibofu au puru(rectum) 200,000 kianzio
19-Kuzikwa na manispaa...bure
20-Vipimo vya Xray,CT scan,Ultra sound,MRI, 250,000.

N.B BEI NILIZOWEKA SIO HALISI

hebu tuongeze nyingine na kuweka gharama zake..
 
Mwambie huyo wa pili mstari wa pili nina salaam zake kutoka kwa bibi yake kijijini
 
Kukataliwa kubaya mwacheni ahangaike...🤣😆😝
 
Hawana uzalendo wowote hao division IV na tawi la CCM.

Wangekuwa wazalendo hizo bilioni 6 zisingetokomea kwenye mifuko ya majizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…