Soma Hapa Ujumbe Mzito Na wa Kizalendo Kutoka Kwa Jeshi La Polisi

Mbona mnatumia nguvu kubwa sana na vitisho vingi kama vile alshabab wametuvamia.

Miezi miwili nyuma hao Chadema waliandamana Dar, Arusha, Mwanza Mbeya na kwengineko bila hata vurugu hakukuwa na lolote na sehemu zingine polisi hawakuwepo

Hii mbona kama mmepanic kulikoni?

Madhumuni ya maandamano haya ni tofauti na yale ya kwanza.
 
Lakini si kufikisha kero za wananchi? Je watu wanatekwa? Je watu wanauwawa? Je watu wanapotezwa? Je watoto wanapotea na kukutwa wengine wamekufa? Je chedema kimepoteza wafuasi na viongozi? Baadhi ya watuhumiwa si wanatoka vyombo vya usalama na wengine wametakwa rasmi?

Ziko wapi jitihada za serikali tangu wa kwanza kutekwa? Ziko wapi hatua kwa waliotajwa kuwa sehemu za kikosi hicho? Ziko wapi juhudi za makusudi kama wanavyozuia maandamani haya katika kuwatafuta watekaji na waliotekwa?

Hizi sio kero za chama chochote Cha siasa Bali wananchi, chama Cha siasa kutangaza maandamano hayo ni njia TU.

Kila mwananchi angependa kuona raia analindwa kama wanavyolinda Sasa maandamano ili kuondoa hofu ya utekaji
 
Kulingana na kikao chao kilichofanyika kule Arusha, walipanga na kusema watalianzisha mpaka rais aseme maji mma. Au aseme basi. Hata mwenyewe alisema kwamba ikifika wakati ataondoka, lakini siyo kwa namna wanayoipanga.
 
Back
Top Bottom