Soma Hapa Ujumbe Mzito Na wa Kizalendo Kutoka Kwa Jeshi La Polisi

Shahawa nyingine heri zingemwagwa nje tu
 
Safi sana, polisi wamewekwa busy. Huu ndiyo uwe utaratibu wao kila siku sio hadi wahenyeshwe na vyama vya siaasa.

Tunahitaji jshi hau muda wote. Vibaka na matapeli wengine wasiwepo.
 
Maandamano hayapo na hayatakuwepo.kwa hiyo usiishi kwa kukariri.
Shida yenu ni nini hasa, isiwe kama muuza utumbo.... Anahofu ya joto kuharibu bidhaa yake. CCM inaogopa nini hasa.

Kama mmeweza kuletwa polisi wengi hivyo mnashindwa nini kusimamia order kwenye maandamano Hadi kuvunja katiba/Sheria kwa kuzuia maandamano kinyume Cha sheria
 

Katiba ije na maboresho ya ishu ya maandamano

Ijulikane kikatiba Nani na wa Chama gani anaitajika kukusanyika sehemu au kuandamana na waongee kitu gani

Otherwise ni kundi la watu flan kuona wanaonewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…