Soma Hapa Ujumbe Mzito Na wa Kizalendo Kutoka Kwa Jeshi La Polisi


Madhumuni ya maandamano haya ni tofauti na yale ya kwanza.
 
Madhumuni ya maandamano haya ni tofauti na yale ya kwanza.
Lakini si kufikisha kero za wananchi? Je watu wanatekwa? Je watu wanauwawa? Je watu wanapotezwa? Je watoto wanapotea na kukutwa wengine wamekufa? Je chedema kimepoteza wafuasi na viongozi? Baadhi ya watuhumiwa si wanatoka vyombo vya usalama na wengine wametakwa rasmi?

Ziko wapi jitihada za serikali tangu wa kwanza kutekwa? Ziko wapi hatua kwa waliotajwa kuwa sehemu za kikosi hicho? Ziko wapi juhudi za makusudi kama wanavyozuia maandamani haya katika kuwatafuta watekaji na waliotekwa?

Hizi sio kero za chama chochote Cha siasa Bali wananchi, chama Cha siasa kutangaza maandamano hayo ni njia TU.

Kila mwananchi angependa kuona raia analindwa kama wanavyolinda Sasa maandamano ili kuondoa hofu ya utekaji
 

Kulingana na kikao chao kilichofanyika kule Arusha, walipanga na kusema watalianzisha mpaka rais aseme maji mma. Au aseme basi. Hata mwenyewe alisema kwamba ikifika wakati ataondoka, lakini siyo kwa namna wanayoipanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…