Soma ujifunze: Jinsi kijiwe changu kilivyosababisha mtu akalizwa 2M na tapeli leo

Poleni! Mlikwenda kutembezwa kwa gharama kubwa.

Sent from my LM-Q710(FGN) using JamiiForums mobile app
 
dah aisee hapo kwa style hiyo hutoki lazima utabananishwa ukutani,roho inaniuma sana kwa huyo boda boda najaribu kuvaa viatu vyake da naona vinanipwaya sana
Boda boda pengine kapata kwa mkopo au kujibana mpaka kakonda..leo anaibiwa mchana kweupe..akitoka hapo usishangae na yeye anakuwa katili ... ..maana machungu yake..
 
Huyo bodaboda Happ atawakumbuka wanaosema wafunge vifaa maalumu kufuatilia vyomba vyao sipati picha jamaa anahali gani usk huu huenda akisikia hata honi anatoka kuangalia km jamaa karudisha chombo
Nacheka utafikili mazuri lakini moyoni inauma mkuu acha
 
mpe pole huyo jamaa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…