Soma unaweza jifunza kitu: Jinsi graduate nilivyopoteza 1.8M niliyoitafuta kwa jasho

Mie niliibiwa kwenye daladala 6.4 M mwezi uliopita tena ya Ofisi, nikitembea nahisi moyo unachomoka nikikaa nahisi hivyo hivyo ni mateso ambayo sijawi kuyapitia toka kuzaliwa kwangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Imebidi nicheke kwanza. Pole sana mkuu.
 
Kwenye harakati za utafutaji kupoteza ni sehemu ya maisha.

Jambo la msingi ni kupambana kupunguza risk za kupoteza.

Mimi nilifanya kazi za usiku, nikakusanya zaidi ya 1M nikaenda kulima mihogo huku Kibiti. Haikurudi hata 100.

So, ni kawaida tu.
Duuu pole sana, maisha haya yana mengi
 
Pole sana ndugu. Cha msingi umejifunza, next time utakuwa makini zaidi na kurekebisha makosa. Chukua kilichotokea kama stepping stone and start again.
 
Mkuu vip hizo tracker huwa wanazichomoa kumbe wanafanyaje....??
 
Mie niliibiwa kwenye daladala 6.4 M mwezi uliopita tena ya Ofisi, nikitembea nahisi moyo unachomoka nikikaa nahisi hivyo hivyo ni mateso ambayo sijawi kuyapitia toka kuzaliwa kwangu.
Bro 6.4 unatembea nayo kwa daladala.
Mimi nikishika 1m tu napanda uber/bolt .[emoji38][emoji38]


Pole sana kiongozi
 
Damn https://jamii.app/JFUserGuide you,hongera,kuna watu wako kama fisi ukikosea imekula kwako
 
Kwa utafiti wangu nimegundua ngozi nyeusi hatiwezi kufanya Jambo bila kukichafua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…