Soma unaweza jifunza kitu: Jinsi graduate nilivyopoteza 1.8M niliyoitafuta kwa jasho

Nimesoma mkasa wako mkuu nimeumia Sana kwa jinsi ulivyopambana kutafuta Fedha kiasi hicho (kimsingi ni Jasho lako Hilo) lkn ukaja kuipoteza bila hata ya kufaidi chochote au tuseme kuonja matunda ya Jasho lako ulilolisotea. Pole Sana ndg.

Lkn sambamba na Hilo lazima utoke na funzo baada ya tukio lililotokea kwakuwa kuna baadhi ya vitu havikwenda sawa katika makabidhiano.

1......Ulimkabidhi dereva bila kumjua kiundani Wala kuhisisha mashahidi ambao kwa namna moja ama nyingine wangekusaidia kumpata muhusika.

2...... Unaonekana hukutake time kufanya utafiti wa biashara ya boda boda kuijua kwa undani kabla hujaingia mazima kujihusisha nayo. Hii ingekusaidia kujua jinsi inavyofanyika na jinsi ya kuwapata madereva na kuingia nao mkataba. Jifunze kuifanyia Research kwa undani biashara yoyote kabla ya kuanza kuifanya.

3. Usikate Tamaa mkuu. Hapa lazima ukiri ulifanya makosa na ukubali kuanza upya This Time kwa UMAKINI mkubwa zaidi. Hiyo hela ni kubwa lkn pia ni Ndogo sana. After a while utaipata na Utasahau yote. Chamsingi Forget it but never forget the Lesson you get.
 
Good ,mkuu asante
 
Hivi hawajishtukizii kama walikwambia na wewe ununue pikipiki piki [emoji28]
 
Sawasawa
 
Unaweza kunitajia mtu aliyetajirika kwa sabb ya kilimo? Mm huwa naamini kilimo ni umasikini.
Watu wanaopata hela kwenye kilimo ni Dalali na mfanyabiashara.
Wapo mkuu lakin upractive in a large scale.....yes hao wengjne ndo wanatajarika haswa...masuala ya kusema ulime 5 acres bora hela uiache bank..unahangaika wee.jnakuja pata faida 400k!arghhh
 
Kitika Sheria tano za pesa
Sheria moja wapo inasema wekeza pesa katika mradi uliufanyia utafiti wa kutosha,

Na kupata. Ushauri wa kutosha kutoka kwa wazoefu wa mradi flani

Na pesa ung'ang'ania kwa mtu anayeilinda
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Kuna kampuni ya wachina walituhimiza tulime wangenunua kwa bei nzuri...tulipolima walinunua kwa 100/kg
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]siyo vizuri kucheka lakn nadhani hata wewe mwenyewe uliposikia hiyo bei ulicheka badala ya kununa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]siyo vizuri kucheka lakn nadhani hata wewe mwenyewe uliposikia hiyo bei ulicheka badala ya kununa
Mie sinaga hamu kbs...watu walipata laki 2 na wakati huo mbegu ya kiroba ilikua 60 elfu ..bado vibarua...na wakawa wanachagua mihogo mizr ile midg wanakuambia hatuchuki...unahangaika 9mths unakuja ambulia 200000!!
 
Bado dunia haija kufunza ...USIMWAMINI MTU YOYOTE
 
Hata hao uliowataja mwishoni nao ni matapeli tu...
 
Tunatofautiana kiwango cha maumivu ndo utafutaji ulivyo hakuna apendae kupoteza pesa basi utokea tu.Mimi nimepoteza jumla ya milioni 200 kwa mda wa miaka 15 kwa aina 16 za biashara na bado sijafanikiwa sijatoka kimaisha lakini sijakata tamaa napambana.Huwa najuta heri ningefungulia zipu hizo pesa kuliko kujinyima Ili nitoke kwa ndoto za kuwa tajiri lakin ndo hivyo imegoma na age ndo inasonga.Biashara ni SAwa na ndoa ni Hadi uingie ndo utaona changamoto zake.
Nimefanya biashara ya daladala,ya roli,kupasua mbao,kuchimba madini, kununua viazi mbeya,kilimo,nk lkn kote haikuwa bahati yangu.
So usikate tamaa.
 
Asante mkuu ,sitokata tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…