Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Usafirishe had dar😅Sasa c Bora ungeuza sokon dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usafirishe had dar😅Sasa c Bora ungeuza sokon dar
Jua, lilisababisha mihogo iote mbalimbali sanaVip mkuu nguruwe walikula mihogo?
Kuna jirani yangu amepanda mhogo corona ya kwanza... i mean april last yr...huwez amini had nw anatoa vimihogo vyembambaaaaaaaaaaa...hahauaha its a year nw...anatukana balaa🤣🤣! Alichukua mbegu mpya sua...bas anakaanga ananunua k vant wknd tunasindikiza majutoJua, lilisababisha mihogo iote mbalimbali sana
kwani mihogo nayo inasemaje mkuu,Kwenye harakati za utafutaji kupoteza ni sehemu ya maisha.
Jambo la msingi ni kupambana kupunguza risk za kupoteza.
Mimi nilifanya kazi za usiku, nikakusanya zaidi ya 1M nikaenda kulima mihogo huku Kibiti. Haikurudi hata 100.
So, ni kawaida tu.
Hahaa nimecheka aiseeSasa Jamaa alikuwa mchumi Sana bas angekodi daladala peke yake
Stor ndefu mkuu,ntaleta thread siku nikiwa poaNaomba kuuliza swali kutokana na maelezo yako. Kwa nini uliachana na mwenza wako? Hii ni topiki tosha
The Genius Kadungure a.k.a Ginimbi huyu mwamba bhna alikuwa ni moja ya vijana wadogo wanaoishi extra ordinary life kwa nchi yenye umaskini kama zimbabwe, zimbabwe wameelimika na wazungu lakini sisi tuna asilimia za kuwakimbiza sana. wale zim wanaiga usouth africa wakati south washapiga hatua.Namuona The genius Ginimbi apo boss
Pile sana mkuu. Mungu anakuandalia mzigo mwinginr mkubwa. Hizo pesa hukudhulm mtu lakini?Wapendwa wanajf habari za usiku,
Leo akili imetulia nimeona nitoe simulizi fupi ya jinsi nilivyoweza kupoteza tsh 1.8M.
Mara baada ya kugraduate pale SUA na (BSC GM) na kushindwa kupata tempo nilijichanga katika kazi mbalimbali kama nyuzi zangu baadhi za nyuma zilivyoelezea mishemishe zangu ikiwemo shughuli za mchanga, tofali na tuition centre.
Kwa mwaka 2020 nilifanikiwa kukusanya kiasi cha shil milion 2 na laki 4 na niliamua hii pesa isikae benk tu kwavile bado naendelea kufight na mambo mengine basi niliamua kufanya biashara ya bodaboda.
Nilinunua bodaboda iliyokaribia kuisha kwa mkataba kwa tsh. 1.8M na kumkabidh mtu aendeshe kwa makubaliano tuliyoafikiana. Nilikuwa namfahamu lakini nilikua simjui sana kiundani na ndugu zake sana nilikuwa siwafahamu sana.
Nadiriki kusema nimeweza kupewa mrejesho wa siku 10 pekee na muda huu navyoongea zimepita takribani wiki 3 sijaweza kuonana wala kuwasiliana na dereva wangu, polisi nimeripoti kwa kufata taratibu lakini sioni matumaini ya kupata chombo changu, sijui mwenzangu ni mzima au ameaga dunia, nimejarbu kufatilia watu wake imeonyesha ni mhamiaji katika maeneo ya mkoa niliopo.
Nawaza sana, nimeweza kupoteza pesa niliyoitafuta kwa jasho sana ndani ya mwaka mmoja, nikiri sikuweza kulala kwa siku 2 mfululizo, Nimeamini hii dunia haina huruma.
Kuna muda nawaza ile hela bora ningeweka tu, kuna muda nawaza sana nikiona mtu anaongelea pesa tu nawaza zile pesa zangu, nimebaki na kiasi cha laki 5 kwenye akaunti yangu nawaza lini nitafika tena kwenye milioni mbili na laki 4.
Kuna muda huwa nawaza sana nikifikiria njia ngumu nilizoweza kupata hii pesa na njia rahisi ilivyoweza kupotea hii pesa, kuna muda niliona haya maisha hayana maana na kupitia huu mkasa i was so harsh, niliweza hadi kuseparate na mtu wangu, Ok ni hayo tu nimeona nishare nanyi wakubwa.
Muwe na usiku mwema.
Safi sana mkuu, mimi nimemjua 2020 alivyofariki, nilijarbu kumfatilia nyuma inaonkna jmaa alkua na pesa sio mchezo, yeye ma ferrar n kama bodaboda, ila watu walihusisha mal zake na iman za kishirkna sjui km kweliThe Genius Kadungure a.k.a Ginimbi huyu mwamba bhna alikuwa ni moja ya vijana wadogo wanaoishi extra ordinary life kwa nchi yenye umaskini kama zimbabwe, zimbabwe wameelimika na wazungu lakini sisi tuna asilimia za kuwakimbiza sana. wale zimwanaiga usouth africa wakati south washapiga hatua.
Gini was the King in Zim japo pesa zake hazikuwa clean kiivyo alipenda kujimix na watu na kuzitakatisha but the Boss G alisadikika kuwa na evil money yeye na ile kuruu yake walitoa sadaka kimazamu, you can imagine walikuwa na mungu wao sema Ginimbi nyota yake iliwaka sana since 26 alikuwa ashamake maisha so alitembea na utajiri kwa miaka takiribani zaidi ya kumi 10. mimi Ginimbi nimemjua tangu 2017 na Nov 8, 2020 alifariki akiwa na 36 old.
Mkuuu hakuna niliyemdhurum ,,,ni jasho languPile sana mkuu. Mungu anakuandalia mzigo mwinginr mkubwa. Hizo pesa hukudhulm mtu lakini?
Hehehe ingawa ni jambo linauma lakini uandishi wako umenichekesha. Pole sana Mkuu. Kwa usawa huu aliotuachia Magu hapo nakuelewa. Lazima uchanganyikiwe.Mie niliibiwa kwenye daladala 6.4 M mwezi uliopita tena ya Ofisi, nikitembea nahisi moyo unachomoka nikikaa nahisi hivyo hivyo ni mateso ambayo sijawi kuyapitia toka kuzaliwa kwangu.
Aisee roho imeniuma. Huyo jamaa aliyekudhulum Jasho lako alaaniwe.Mkuuu hakuna niliyemdhurum ,,,ni jasho langu
Amekwambia pesa haikuwa yake. Ukisema uchukue boda boda ya elfu 10 utailipa weweUliwezaje kupanda daladala na kiasi chote hicho mkuu? Hapo ulijitakia.
Misemo ya inspirational speakers. No realistic. Yaani nipoteze pesa zangu nisilie?Kuanguka chini inaweza kuwa ni ajali ila kulialia na kuendelea kukaa hapo chini ni choice
Changanya na za kwako...
Aisee.Kwenye harakati za utafutaji kupoteza ni sehemu ya maisha.
Jambo la msingi ni kupambana kupunguza risk za kupoteza.
Mimi nilifanya kazi za usiku, nikakusanya zaidi ya 1M nikaenda kulima mihogo huku Kibiti. Haikurudi hata 100.
So, ni kawaida tu.
We kama mimiHaipaswi kucheka ila nimeshindwa jizuia,
Umenifundisha jamboYani ulimpa deiwaka au mkataba?
Hukufunga tracker kwenye chombo?
Hamkupeleka mkataba serikali za mitaa ukasainiwe akiwa na mashahidi zake na picha zao wote passport?
Pole mkuu mimi ulitaka kunitokea mchezo kama huo, bahati nzuri nilimkamata boda wangu maeneo flani akiwa kajiachia vizuuri na boda langu, hapa tunaongea nimechukua boda na pesa yangu 400k+ ataitema, N.B tracker aliichomoa.
nimeedit iyo comment unaeza soma tena.Safi sana mkuu, mimi nimemjua 2020 alivyofariki, nilijarbu kumfatilia nyuma inaonkna jmaa alkua na pesa sio mchezo, yeye ma ferrar n kama bodaboda, ila watu walihusisha mal zake na iman za kishirkna sjui km kweli