Soma unaweza jifunza kitu: Jinsi graduate nilivyopoteza 1.8M niliyoitafuta kwa jasho

Soma unaweza jifunza kitu: Jinsi graduate nilivyopoteza 1.8M niliyoitafuta kwa jasho

Jua, lilisababisha mihogo iote mbalimbali sana
Kuna jirani yangu amepanda mhogo corona ya kwanza... i mean april last yr...huwez amini had nw anatoa vimihogo vyembambaaaaaaaaaaa...hahauaha its a year nw...anatukana balaa🤣🤣! Alichukua mbegu mpya sua...bas anakaanga ananunua k vant wknd tunasindikiza majuto
 
Biashara ya boda boda ni biashara hatari sana kama hautakuwa maakini. Nina mfano hai. Kuna Mwalimu Mkuu mmoja wa Sekondari alistaafu Utumishi wa Umma akaja akadanganywa na waendesha boda boda kuwa ili fedha zake ziongezeke kwa haraka basi anunue bodaboda ili aone mabadiliko kwenye maisha yake. Yule Mwalimu alinunua boda boda 40 na kila siku atakuwa anawasilishiwa Tshs.10,000 kwa kila boda boda kwa makubaliano na hivyo kwa siku atakuwa anapata Tshs.400,000 na kwa mwezi atakuwa anapata Tshs.12,000,000 Kwa mwezi. Huyu mwalimu alipata mawasilisho ya wiki moja tu na baadaye pikipiki zake zikaanza kupotea moja baada nyingine. Mara uharibifu mara madereva kukimbia na pikipiki. Inaonekana hakuweza kuchukua taarifa za madereva vizuri. Mpaka ninapoandika ushauri huu Mwalimu huyo hana hata pikipiki moja na mara nyingine kama vile anaongea peke yake. Nakushauri achana na biashara ya bodaboda labda mmiliki wewe ndiyo uwe dereva na siyo mtu mwingine.
 
Kwenye harakati za utafutaji kupoteza ni sehemu ya maisha.

Jambo la msingi ni kupambana kupunguza risk za kupoteza.

Mimi nilifanya kazi za usiku, nikakusanya zaidi ya 1M nikaenda kulima mihogo huku Kibiti. Haikurudi hata 100.

So, ni kawaida tu.
kwani mihogo nayo inasemaje mkuu,
 
Namuona The genius Ginimbi apo boss
The Genius Kadungure a.k.a Ginimbi huyu mwamba bhna alikuwa ni moja ya vijana wadogo wanaoishi extra ordinary life kwa nchi yenye umaskini kama zimbabwe, zimbabwe wameelimika na wazungu lakini sisi tuna asilimia za kuwakimbiza sana. wale zim wanaiga usouth africa wakati south washapiga hatua.

Gini was the King in Zim japo pesa zake hazikuwa clean kiivyo alipenda kujimix na watu na kuzitakatisha but the Boss G alisadikika kuwa na evil money yeye na ile kuruu yake walitoa sadaka kimazamu, you can imagine walikuwa na mungu wao sema Ginimbi nyota yake iliwaka sana since 26 alikuwa ashamake maisha so alitembea na utajiri kwa miaka takiribani zaidi ya kumi 10. mimi Ginimbi nimemjua tangu 2017 na Nov 8, 2020 alifariki akiwa na 36 nime

mi nimekuwa inspired na his life style ya kuspend his money but siyo wapi alipata pataje pesa ingawa nilipenda nijue source ya his wealth ndio nikahisi mbumba iliplay part. lakini the dude lived the life mkuu.
kuna caption aliwahi capt kwenye instagram page yake inasema "do not doubt about your wealth"
 
Wapendwa wanajf habari za usiku,

Leo akili imetulia nimeona nitoe simulizi fupi ya jinsi nilivyoweza kupoteza tsh 1.8M.

Mara baada ya kugraduate pale SUA na (BSC GM) na kushindwa kupata tempo nilijichanga katika kazi mbalimbali kama nyuzi zangu baadhi za nyuma zilivyoelezea mishemishe zangu ikiwemo shughuli za mchanga, tofali na tuition centre.

Kwa mwaka 2020 nilifanikiwa kukusanya kiasi cha shil milion 2 na laki 4 na niliamua hii pesa isikae benk tu kwavile bado naendelea kufight na mambo mengine basi niliamua kufanya biashara ya bodaboda.

Nilinunua bodaboda iliyokaribia kuisha kwa mkataba kwa tsh. 1.8M na kumkabidh mtu aendeshe kwa makubaliano tuliyoafikiana. Nilikuwa namfahamu lakini nilikua simjui sana kiundani na ndugu zake sana nilikuwa siwafahamu sana.

Nadiriki kusema nimeweza kupewa mrejesho wa siku 10 pekee na muda huu navyoongea zimepita takribani wiki 3 sijaweza kuonana wala kuwasiliana na dereva wangu, polisi nimeripoti kwa kufata taratibu lakini sioni matumaini ya kupata chombo changu, sijui mwenzangu ni mzima au ameaga dunia, nimejarbu kufatilia watu wake imeonyesha ni mhamiaji katika maeneo ya mkoa niliopo.

Nawaza sana, nimeweza kupoteza pesa niliyoitafuta kwa jasho sana ndani ya mwaka mmoja, nikiri sikuweza kulala kwa siku 2 mfululizo, Nimeamini hii dunia haina huruma.

Kuna muda nawaza ile hela bora ningeweka tu, kuna muda nawaza sana nikiona mtu anaongelea pesa tu nawaza zile pesa zangu, nimebaki na kiasi cha laki 5 kwenye akaunti yangu nawaza lini nitafika tena kwenye milioni mbili na laki 4.

Kuna muda huwa nawaza sana nikifikiria njia ngumu nilizoweza kupata hii pesa na njia rahisi ilivyoweza kupotea hii pesa, kuna muda niliona haya maisha hayana maana na kupitia huu mkasa i was so harsh, niliweza hadi kuseparate na mtu wangu, Ok ni hayo tu nimeona nishare nanyi wakubwa.

Muwe na usiku mwema.
Pile sana mkuu. Mungu anakuandalia mzigo mwinginr mkubwa. Hizo pesa hukudhulm mtu lakini?
 
The Genius Kadungure a.k.a Ginimbi huyu mwamba bhna alikuwa ni moja ya vijana wadogo wanaoishi extra ordinary life kwa nchi yenye umaskini kama zimbabwe, zimbabwe wameelimika na wazungu lakini sisi tuna asilimia za kuwakimbiza sana. wale zimwanaiga usouth africa wakati south washapiga hatua.

Gini was the King in Zim japo pesa zake hazikuwa clean kiivyo alipenda kujimix na watu na kuzitakatisha but the Boss G alisadikika kuwa na evil money yeye na ile kuruu yake walitoa sadaka kimazamu, you can imagine walikuwa na mungu wao sema Ginimbi nyota yake iliwaka sana since 26 alikuwa ashamake maisha so alitembea na utajiri kwa miaka takiribani zaidi ya kumi 10. mimi Ginimbi nimemjua tangu 2017 na Nov 8, 2020 alifariki akiwa na 36 old.
Safi sana mkuu, mimi nimemjua 2020 alivyofariki, nilijarbu kumfatilia nyuma inaonkna jmaa alkua na pesa sio mchezo, yeye ma ferrar n kama bodaboda, ila watu walihusisha mal zake na iman za kishirkna sjui km kweli
 
Mie niliibiwa kwenye daladala 6.4 M mwezi uliopita tena ya Ofisi, nikitembea nahisi moyo unachomoka nikikaa nahisi hivyo hivyo ni mateso ambayo sijawi kuyapitia toka kuzaliwa kwangu.
Hehehe ingawa ni jambo linauma lakini uandishi wako umenichekesha. Pole sana Mkuu. Kwa usawa huu aliotuachia Magu hapo nakuelewa. Lazima uchanganyikiwe.
 
Yani ulimpa deiwaka au mkataba?

Hukufunga tracker kwenye chombo?

Hamkupeleka mkataba serikali za mitaa ukasainiwe akiwa na mashahidi zake na picha zao wote passport?
Pole mkuu mimi ulitaka kunitokea mchezo kama huo, bahati nzuri nilimkamata boda wangu maeneo flani akiwa kajiachia vizuuri na boda langu, hapa tunaongea nimechukua boda na pesa yangu 400k+ ataitema, N.B tracker aliichomoa.
Umenifundisha jambo
 
Safi sana mkuu, mimi nimemjua 2020 alivyofariki, nilijarbu kumfatilia nyuma inaonkna jmaa alkua na pesa sio mchezo, yeye ma ferrar n kama bodaboda, ila watu walihusisha mal zake na iman za kishirkna sjui km kweli
nimeedit iyo comment unaeza soma tena.

Watu walimuhusisha jamaa na hizo habari ni kweli mkuu alikuwa ni moja ya vijana ambao aliingia kwenye moja ya miungu ya kishetani illuminates God na baadaye akaalika kuruuu yake wale uliona wana kula naye bata baadhi, tena ila wakati huo yeye ashamenya sana maana jamaa nyota yake iliwaka mapema sana.

so wale waliingia lakini hawataweza mfikia so ni kama aliwa ingiza tu kimazabe lakini hawawezi win hata robo ya utajiri wa jamaa yaani jamaa walio mfuata Ginimbi ni kama wanavuta shuka wakati kusha pambazuka.

sema utajiri wa jamaa ulifikirisha wengi japo wengine walikuwa wanadata za uongo kuhusu jamaa wengine sijui nyoka, lakini nyuma pia ya ushirikina kulikuwa lazima kuna biashara nyeusi aliwahi fanya zikamuinua pakubwa sana labda akalamba kama bilioni zake 150Tsh akatulia tuli, ndio akawa na jeuri mjini ya kufanya yale matusi.
 
Back
Top Bottom