Soma upate mawili matatu: Mhitimu mambo ninayopitia kipindi hiki katika harakati zangu

Sawa mkuu
 
Sawa mkuu

Dogo wewe ni mwamba sana, nakugakikishia baada ya miaka 5 utakuwa na connection za kuua mtu yaani hata hiyo ajira ya Ualimu ni kupoteza muda tu. Cha msingi husijifiche hiyo ni biashara kama zilivyo biashara nyingine,wewe umeenda shule utapata connection nyingi kupitia biashara yako hiyo. Acha wateja wako wakujue wewe ni graduate.
 
Anaweza kuendelea mpaka akawa na kijiwe Cha kufyatua tofali za block za simenti. Maisha hayana huruma asee, nna miaka sita mtaani tangu nihitimu degree nshakutana na wabeba zege wenye degree, machinga etc.
Komaa mwana komaa, nadhani kwa sababu umeshaingia kwenye sekta ya ujenzi, na ni sekta inayoendelea Sana, waweza kuamua kuwekeza zaidi humo sektani, inaweza kukutoa kimaisha.
 
Hizo ndio zile tunaita Neema mkuu
 
Asante mkuu kwa nasaha
 
Japo sina msaada directly ila niseme neno...mimi nimeshakaa Songea huko Mlale ila mjini nimekaa pia,Songea ni ndogo sana na fursa ni chache so mdau umejibana sehemu isiyo na fursa za kutosha.

I had a friend of a friend ambae alisomea ualimu wa Bsc. Chem from Mbeya kaja juzi tu kapata kitengo shule ya sekondary Dsm so mdau funguka usikae Songea tu shule zipo Tz nzima na uko competent kwanin wasikutake, sema watu wengi wamesomea ualimu but hawataki kuwa waalimu hapo ndo tatizo linaanzia.
 
Asante mkuu, nimekuelewa
 
Ww unazinguaa

"umesema umefundishaa watoto wa wakuu wa mikoaa" afu bado unasafer

Kaka kuna kitu kinaitwa network meshindwaaa kufanyaa

My advice: kaa chini angalia ni wap unakosea na ujirikebishee!

Pili inaonekana ww ni nyanya sasa hv while you in school hukufanya hustle zozote!


Jambo la tatu pale ulipokutana na headmaster wako eti unajifichaa ww ni m...nge (bro ukiwa unaleta uslay queen kwenye maisha utakuwa sho..ga)


Unatia hasiraa kwa nn hujionyeshi hustle zako kwa watu walio juu! No one will know what you are thing until you speak out!!


Dogo bado kama umemaliza chuo 2019 ngoja kuna kipindi utanyookaa



(ee Mungu nisamehe kama nawaza vibaya )
 

Kwa sababu wewe unanafasi basi mwajiri huyu ndugu kama office assistant japo apate kipato kidogo.
 

Tumewaza sawa...asijifiche..speak speak..lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…