Soma vitabu ndani ya App hii kwa malipo ya Tsh 7,000 kwa mwaka

Soma vitabu ndani ya App hii kwa malipo ya Tsh 7,000 kwa mwaka

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Habarini. Makatabaapp. Inakuletea vitabu mbalimbali vya kiswahili kwa ada ya 7,000(Kutokana na kupanda kwa gharama ada ya sasa ni Tsh 10000 kwa mwaka. Tunaomba Moderator watusaidie kuweka 10,000 badala ya 7,000 kwenye title) kwa mwaka. Vitabu humo unaweza kusoma hata ukiwa offline. Tucheki whatsapp 0715278384 tukutumie apk ya kuinstall na tukuunge.

Utaratibu: Nakutumia apk ya app unainstall. Ukiinstall unalipia 7,000. Hapo nakutumia password na username. Unasoma kwa mwaka mzima toka tarehe uliyolipia.

ORODHA YA VITABU

1.Tajiri wa Babeli(Tafsiri ya kitabu The richest man in it Babylon.)
2. Jinsi ya kupata marafiki na kushawishi watu-1 (Sehemu ya kwanza ya Tafsiri ya kitabu How to win friends and influence people chake Dale Carnegie)
3. Desturi za Wachagga
4. Maisha, Mila na Desturi za Wanyamwezi
5. Kiongozi(Tafsiri ya kitabu, The Prince cha Niccolo Machiavelli)
6. Shamba la wanyama(tafsiri ya kitabu The animal farm)
7. Bwana mdogo/Mwanamfalme mdogo(Tafsiri ya kitabu Le pettit prince cha Antoine de Sainte Exupery )
8. Nchi ya wasioona(Tafsiri ya kitabu The country of the blind)
9. Ifahamu pombe
10. Kisiwa chenye hazina
11. Simba wa Tsavo
12. Mashimo ya Mfalme Sulemani
13. Hadithi ya Allan Quartermain(Umslopogazi)
14. Safari ya Bulicheka na mkewe
15. Kusadikika(Shaaban Robert)
16. Kufikirika(Shaaban Robert)
17. Adili na nduguze(Shaaban Robert)
18. Maisha yangu na baada ya miaka 50(Shaaban Robert)
19. Hekaya za Abunuwasi na hadithi nyingine Tsh
20. Alfu lela ulela kitabu cha1
21. Alfu lela ulela kitabu cha 2
22. Alfu lela ulela kitabu cha 3
23. Alfu lela ulela kitabu cha 4
24. Wasifu wa Siti binti Saad(Shaaban Robert)
25. Nyayo za mwendo wa binadamu
26. Robinson Kruso na kisiwa chake
27. Elisi katika nchi ya ajabu
28. Hekaya za waswahili kama zilivyosimuliwa na wazawa wa Zanzibar.
29. Lulu(Tafsiri ya kitabu The pearl chake john Steinbeck)
30. Theluji ya Kilimanjaro(Tafsiri ya kitabu, The Snows of Kilimanjaro chake Ernest Hemingway)
31. Sanaa ya vita(Tafsiri ya kitabu The art of war)
32. Mapenzi bora(ushairi wa Shaaban Robert)
33. Nunda mla watu
34. Nalutuesha
35. Someni kwa furaha kitabu cha kwanza
36. Hadithi za Esopo
37. Someni kwa furaha kitabu cha tatu
38. Vazi jipya la mfalme
39. Kisa cha sungura aliyeitwa Petro
40. Elimu dya kujitegemea(Chake JK Nyerere),
41. Julius Kaizari. J.K. Nyerere(Tafsiri ya kitabu Julius Caesar chake Shakespeare)
42.Mabepari wa Venisi by JK Nyerere(Tafsiri ya kitabu The merchants of Venice chake Shakespeare)
43. Tujisahihishe(J.K. Nyerere
44. Azimio la Arusha
45. Kinjeketile.
46. Alibaba na wezi arobaini.
47. Safari za Gulliver
48. Jamaa hodari kisiwani
49. Uhuru wa watumwa
50. Mabepari wa Venisi
51. Roho mkononi
52. Kamlete, akibisha mlipue
53. Gubu la mume
54. Najuta kuolewa
55. Utubora Mkulima
56. Diwani ya Nyamaume
57. Desturi za Wasuaheli
58. Alibaba na wezi arobaini
59. Alldini na taa ya ajabu
60. Safari za Wasuaheli
61. Unyonge wa mwafrika
62. Harakati za kitabaka katika Afrika
63. Ilani ya Ukomunisti
64. Chuo cha ustaarabu
65. Visa na hadithi
66. Mlango wa historia
67. Masimulizi Maboleo-2
68. Maisha ya Malcom X.
69. Vitendawili
70. Kielezo cha fasili(Mashairi ya Shaaban Robert)
71. Koja la lugha(Mashairi ya Shaaban Robert)
72. Hadithi za kisukuma
73. Mzee na mbuzi wake
74. Hadithi za Kizanaki
75. Hadithi za Kinyamwezi
76. Barua ya Mgendi
77. Usiku wa ngoma
78. Krapf na Rebmann katika Uchaga, Vuga na Ukamba
79. Livingstone avumbua ziwa Nyasa, mto Ruvuma na Ugala
80. Apolo wa mwitu wa Mbilikimo
81. Habari ya Waingereza watangulizi wawili
82. Zamani mpaka siku hizi
83. Maisha ya Sameni Ole Kivasis
84. Mwanga wa shetani
85. Safari yetu kwenda Rufiji.
86. Nilivyofika na Kukaa Afrika, na mzee Rufiji
87. Uchawi na Mazingaombwe, na mzee Rufiji
 
Mwaka 1936, Muandishi mmarekani Ernest Hemmingway aliandika kitabu The snows of Kilimanjaro. Dhana kuu ya kitabu hiki ni kifo. Jinsi mtu anavyokabili kifo chake. Unaweza kusoma tafsiri yake ya kiswahili ndani ya maktaba app.
Theluji ya Kilimanjaro.png
 
Mwaka 1926, Bwana George S. Clason aliandika kitabu juu ya uchumi wa mtu binafsi, The Richest Man in Babylon. Hadi leo kitabu hicho ni moja ya vitabu bora kabisa juu ya masuala ya uchumi binafsi. Tafsiri yake ya kiswahili inapatikana ndnai ya maktabaapp.
Tajiri cover.png
 
Mwaka 1513 mwanasiasa kutoka Florence, Italia, aliyeitwa Niccolo Machiavelli aliandika kitabu juu ya mbinu za siasa na uongozi. Alikiita The Prince. Ni kitabu maarufu na kinachotumiwa sana na wanasiasa hata leo. Tafsiri ya kiswahili ya kitabu hicho sasa inapatikana ndani ya maktaba app.
Kiongozi.png
 
Mwaka 1904 muandishi H G. Wells aliandika kitabu The country of the blind. Ni hadithi juu ya mtu mmoja aliyeenda kwenye nchi ambayo watu wote ni vipofi. Tafsiri yake ya kiswahili inapatikana ndani ya maktaba app.
Nchi ya wasioona..png
 
Kitabu kinachoongoza kutafsiriwa duniani ni Biblia. Kitabu cha pili kinaitwa La Petit Prince(The Little Prince). Kiliandikwa mwaka 1943 na mfaransa Antoine Saint de-Exupery. Kimetafsiriwa kwa zaidi ya lugha 500. Tafsiri yake ya kiswahili inapatikana ndani ya maktabaapp.
bwana mdogo cover.png
 
Mwaka 1885, muandishi Rider H. Haggard aliandika riwaya iitwayo King solomon's mines. Baadaye ikatafsioriwakwa kiswahili kama Mashimo ya mfalme sulemani. unaweza kuisoma ndani ya maktabaapp.
mashimo.png
 
Back
Top Bottom