Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
- #21
Kuna programmer alinitengenezea.Hiyo App umetengeneza wewe mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna programmer alinitengenezea.Hiyo App umetengeneza wewe mzee
Co-founder au ulimlipa Boss...Kama wakumlipa ulilipa kihasi gani kindly naweza nijibu pm piaKuna programmer alinitengenezea.
aisee...Mwaka 1904 muandishi H G. Wells aliandika kitabu The country of the blind. Ni hadithi juu ya mtu mmoja aliyeenda kwenye nchi ambayo watu wote ni vipofi. Tafsiri yake ya kiswahili inapatikana ndani ya maktaba app.
View attachment 2502776
Jamaa ameandika vitabu vingi sana, science fictions zake nyingi ni kama alikuwa akitabiri wakati ujao. Hicho kis kinafurahisha, huyo Orson atakuwa alikuwa anajua kazi yake vizuri. Tutaendelea kufasiri vingine vingi kutoka kwake. Kama The Island of Dr. Moreau.aisee...
kumbe huyu ana kitabu tumetafsiri kwa kiswahili
Mimi nilimjua kutokana na stori ya kitabu chake cha War of the Worlds kinachohusu wavamizi kutoka sayari ya Mars, , ambao ilichezwa kama mchezo wa Radio ulioendeshwa na mtangazaji Orson Welles siku ya Jumapili tarehe October 30, 1938 na kuzua taharuki kubwa kwa wakaazi wa jiji la New York, wakidhani ni kweli nchi ya Marekani imevamiwa na viumbe kutoka sayari ya Mars, na kusababisha wananchi kutoka majumbani mwao na kujaa mitaani huku kila mmoja akitafuta njia ya kujinusuru kwa kuukimbia mji,
Maktabaapp. Haipo playstore. Nakutumia kwa whatsapp.Hyo app inaitwaje ?