Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
- #41
Ingizo jipya ndani ya maktaba app. Riwaya hii inazungumzia ukinzani wa mapenzi na pesa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi bado hatujapataVitabu pendwa havipo.
Huba la wuvu by Zainabu Mwanga
Vitabu vya Farah Katalambula
Vya Shafi A. Shafi
Vya E. Musiba
n.k
Bora ungeweka kwa package na kuwe na achievable things ambavyo vimehuishwa kwa kila package, why and so what?what for? Just for the sake of reading?Habarini. Makatabaapp. Inakuletea vitabu mbalimbali vya kiswahili kwa ada ya 7,000(Kutokana na kupanda kwa gharama ada ya sasa ni Tsh 10000 kwa mwaka. Tunaomba Moderator watusaidie kuweka 10,000 badala ya 7,000 kwenye title) kwa mwaka. Vitabu humo unaweza kusoma hata ukiwa offline. Tucheki whatsapp 0715278384 tukutumie apk ya kuinstall na tukuunge.
Utaratibu: Nakutumia apk ya app unainstall. Ukiinstall unalipia 7,000. Hapo nakutumia password na username. Unasoma kwa mwaka mzima toka tarehe uliyolipia.
ORODHA YA VITABU VILIVYOPO MPAKA SASA
1.Tajiri wa Babeli(Tafsiri ya kitabu The richest man in it Babylon)
2. Mapenzi bora(ushairi wa Shaaban Robert)
3. Sanaa ya vita(Tafsiri ya kitabu The art of war)
4. Kiongozi(Tafsiri ya kitabu, The Prince cha Niccolo Machiavelli)
5. Shamba la wanyama(tafsiri ya kitabu The animal farm)
6. Bwana mdogo/Mwanamfalme mdogo(Tafsiri ya kitabu Le pettit prince cha Antoine de Sainte Exupery )
7. Nchi ya wasioona(Tafsiri ya kitabu The country of the blind)
8. Ifahamu pombe
9. Kisiwa chenye hazina
10. Simba wa Tsavo
11. Mashimo ya Mfalme Sulemani
12. Hadithi ya Allan Quartermain(Umslopogazi)
13. Nalutuesha
14. Kusadikika(Shaaban Robert)
15. Kufikirika(Shaaban Robert)
16. Adili na nduguze(Shaaban Robert)
17. Maisha yangu na baada ya miaka 50(Shaaban Robert)
18. Hekaya za Abunuwasi na hadithi nyingine Tsh
19. Alfu lela ulela toleo la 2
20. Alfu lela ulela toleo la 3
21. Alfu lela ulela toleo la 4
22. Wasifu wa Siti binti Saad(Shaaban Robert)
23. Nyayo za mwendo wa binadamu
24. Robinson Kruso na kisiwa chake
25. Elisi katika nchi ya ajabu
26. Hekaya za waswahili kama zilivyosimuliwa na wazawa wa Zanzibar.
27. Lulu(Tafsiri ya kitabu The pearl chake john Steinbeck)
28. Theluji ya Kilimanjaro(Tafsiri ya kitabu, The Snows of Kilimanjaro chake Ernest Hemingway)
29. Safari ya Bulicheka na mkewe
30. Someni kwa furaha kitabu cha
31. Hadithi za Esopo
32. Someni kwa furaha kitabu cha
33. Vazi jipya la mfalme
34. Kisa cha sungura aliyeitwa Petro
35. Elimu dya kujitegemea(Chake JK Nyerere),
36. Julius Kaizari. J.K. Nyerere(Tafsiri ya kitabu Julius Caesar chake Shakespeare)
37. Kinjekitile.
38. Tujisahihishe(J.K. Nyerere)
39. Mlango wa historia
40. Nunda mla watu
41. Masimulizi ya Mamboleo
42. Ilani ya ukomunisti( Tafsiri ya The communist manifesto cha Karl Marx and Friedrich Engels)
43. Visa na hadithi,
44. Chuo cha ustaarabu
45. Mtu aliyepanda miti(Tafsiri ya kitabu The man who planted trees)
46. Jinsi ya kupata marafiki na kushawishi watu(kitabu cha kwanza cha Tafsiri ya kitabu How to win friends and influence people)
47. Safari za Wasuaheli
48. Harakati za kitabaka katika Africa(Kwame Nkrumah)
49. Azimio la Arusha.
50. Desturi za Wachaga
51. Unyonge wa Mwafrika
52. Maisha ya Mathias Mnyampala
53. Safari za Gulliver
54. Jamaa hodari kisiwani
55. Uhuru wa watumwa
56. Maisha na desturi za wanyamwezi
57. Mabepari wa Venisi
58. Roho mkononi
59. Kamlete, akibisha mlipue
60. Ugogo na Ardhi yake, Mathias Mnyampala
61. Najuta kuolewa, Hammie Rajab
Utubora Mkulima by Shaaban Robert
Sijakuelewa mkuu.Bora ungeweka kwa package na kuwe na achievable things ambavyo vimehuishwa kwa kila package, why and so what?what for? Just for the sake of reading?
Wekeni vitabu vingi vya maendeleo binafsi,Bora ungeweka kwa package na kuwe na achievable things ambavyo vimehuishwa kwa kila package, why and so what?what for? Just for the sake of reading?