Soma vitabu ndani ya App hii kwa malipo ya Tsh 7,000 kwa mwaka

Ingizo jipya ndani ya maktaba app. Riwaya hii inazungumzia ukinzani wa mapenzi na pesa.
 
Desturi za Wasuaheli(Waswahili-1903). Kitabu hiki kinaelezea mila na desturi za watu wa pwani ya Afrika Mashariki(Waswahili).
 
App yetu inaendelea. Sasa inapatikana playstore. Ukiinstall unapata siku tatu za free trial. Baada ya hapo unaweza kulipia 6000 kusoma miezi sita au elfu kumi kusoma kwa mwaka.

 
Kitabu chengine cha mashairi ya marehemu Shaaban Robert. Mashairi yaliyomo humu si mfano mwema tu wa utunzi bali ni vielezo vizuri vya mambo yaliyokuwa yakitendeka katika jumuia ya marehemu Shaaban na ambayo, baadhi yake mpaka sasa, yangali yakitendeka katika sehemu mbalimbali za Afrika ya Mashariki. Lugha iliyotumiwa ni nyepesi na kunjufu. Kila shairi limejaa maana, na ni ushahidi tosha wa ubingwa wa marehemu Shaaban Robert.

 
1. Download na install app kutoka playstore kupitia hii link.


Ukishajiunga utalipia na kututumia email uliyojiungia ili tuactivate account yako. Malipo ni 6,000 kusoma kwa miezi sita na 10,000 kwa mwaka.

Kwa mawasiliano zaidi na namna ya kulipia tucheki whatsapp 0715278384


ORODHA YA VITABU

1.Tajiri wa Babeli(Tafsiri ya kitabu The richest man in it Babylon.)
2. Jinsi ya kupata marafiki na kushawishi watu-1 (Sehemu ya kwanza ya Tafsiri ya kitabu How to win friends and influence people chake Dale Carnegie)
3. Desturi za Wachagga
4. Maisha, Mila na Desturi za Wanyamwezi
5. Kiongozi(Tafsiri ya kitabu, The Prince cha Niccolo Machiavelli)
6. Shamba la wanyama(tafsiri ya kitabu The animal farm)
7. Bwana mdogo/Mwanamfalme mdogo(Tafsiri ya kitabu Le pettit prince cha Antoine de Sainte Exupery )
8. Nchi ya wasioona(Tafsiri ya kitabu The country of the blind)
9. Ifahamu pombe
10. Kisiwa chenye hazina
11. Simba wa Tsavo
12. Mashimo ya Mfalme Sulemani
13. Hadithi ya Allan Quartermain(Umslopogazi)
14. Safari ya Bulicheka na mkewe
15. Kusadikika(Shaaban Robert)
16. Kufikirika(Shaaban Robert)
17. Adili na nduguze(Shaaban Robert)
18. Maisha yangu na baada ya miaka 50(Shaaban Robert)
19. Hekaya za Abunuwasi na hadithi nyingine Tsh
20. Alfu lela ulela toleo la 2
21. Alfu lela ulela toleo la 3
22. Alfu lela ulela toleo la 4
23. Wasifu wa Siti binti Saad(Shaaban Robert)
24. Nyayo za mwendo wa binadamu
25. Robinson Kruso na kisiwa chake
26. Elisi katika nchi ya ajabu
27. Hekaya za waswahili kama zilivyosimuliwa na wazawa wa Zanzibar.
28. Lulu(Tafsiri ya kitabu The pearl chake john Steinbeck)
29. Theluji ya Kilimanjaro(Tafsiri ya kitabu, The Snows of Kilimanjaro chake Ernest Hemingway)
30. Sanaa ya vita(Tafsiri ya kitabu The art of war)
31. Mapenzi bora(ushairi wa Shaaban Robert)
32. Nunda mla watu
33. Nalutuesha
34. Someni kwa furaha kitabu cha kwanza
35. Hadithi za Esopo
36. Someni kwa furaha kitabu cha tatu
37. Vazi jipya la mfalme
38. Kisa cha sungura aliyeitwa Petro
39. Elimu dya kujitegemea(Chake JK Nyerere),
40. Julius Kaizari. J.K. Nyerere(Tafsiri ya kitabu Julius Caesar chake Shakespeare)
41.Mabepari wa Venisi by JK Nyerere(Tafsiri ya kitabu The merchants of Venice chake Shakespeare)
42. Tujisahihishe(J.K. Nyerere
43. Azimio la Arusha
44. Kinjeketile.
45. Alibaba na wezi arobaini.
46. Safari za Gulliver
47. Jamaa hodari kisiwani
48. Uhuru wa watumwa
49. Mabepari wa Venisi
50. Roho mkononi
51. Kamlete, akibisha mlipue
52. Gubu la mume
53. Najuta kuolewa
54. Utubora Mkulima
55. Diwani ya Nyamaume
56. Desturi za Wasuaheli
57. Alibaba na wezi arobaini
58. Alldini na taa ya ajabu
59. Safari za Wasuaheli
60. Unyonge wa mwafrika
61. Harakati za kitabaka katika Afrika
62. Ilani ya Ukomunisti
63. Chuo cha ustaarabu
64. Visa na hadithi
65. Mlango wa historia
66. Masimulizi Maboleo-2
67. Maisha ya Malcom X.
68. Vitendawili
69. Kielezo cha fasili(Mashairi ya Shaaban Robert)
70. Koja la lugha(Mashairi ya Shaaban Robert)
 
Vitabu pendwa havipo.

Huba la wuvu by Zainabu Mwanga
Vitabu vya Farah Katalambula
Vya Shafi A. Shafi
Vya E. Musiba
n.k
 
Bora ungeweka kwa package na kuwe na achievable things ambavyo vimehuishwa kwa kila package, why and so what?what for? Just for the sake of reading?
 
Bora ungeweka kwa package na kuwe na achievable things ambavyo vimehuishwa kwa kila package, why and so what?what for? Just for the sake of reading?
Sijakuelewa mkuu.
 
Ingizo jipya ndani ya maktaba app. Kitabu hiki ni mkusanyiko wa Hotuba za Hayati Amani Abeid Karume.
 
Ingizo jipya ndani ya maktaba app. Habari ya safari za Richard Burton na Daving Livingstone.
 
Ingawa Chama kinachotawala Tanzania. TANU, kimeamua toka mwanzo wa mwaka 1962 kujenga nchi ya Ujamaa, lakini maelezo kamili ya sababu za Tanzania kuamua hivyo yalikuwa bado hayajatolewa. Maelezo hayo sasa yanapatikana katika Azimio la Arusha, na hotuba na maandiko ya Rais Nyerere yaliyomo katika kitabu hiki kidogo. Maandiko hayo yanatoa maelezo ya Ujamaa, na maana za Ujamaa katika mambo mengi muhimu. Kwa hiyo kitabu hiki kinamsaidia mtu kuelewa misingi, matumaini, na njia za Mtanzania za kumletea maendeleo ya siasa na ya uchumi. Ingawa kitabu hiki kimeandikwa hasa kwa kuwasaidia Viongozi Walimu na Wanafunzi katika Tanzania, maandiko hayo yanawahusu pia watu wa nchi nyingine za ulimwengu wa sasa, na hasa katika nchi zilizoendelea za Magharibi, ambako watu sasa wanachunguza kwa juhudi kubwa msingi wao wote wa maisha ya kikabaila.

 
Ingizo jipya ndani ya maktaba app. Kitabu hiki kinahusu historia ya Tanzania tangu kale hadi mwaka 1965.
 
Ingizo jipya ndani ya maktaba app. Kijitabu hiki kiliandikwa na mzungu mwindaji mmoja aliyeitwa Ronald De La Bere Barker. Aliandika juu ya visa na mikasa aliyokutana nayo huko porini.
 
Ingizo jipya. Mwendelezo wa simulizi za mzee Rufiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…