Soma vitabu ndani ya App hii kwa malipo ya Tsh 7,000 kwa mwaka

Ingizo jipya ndani ya maktaba app. Tulikuwa bado hatujapata Alfu lela ulela kitabu cha kwanza, sasa kimepatikana.
 
Kitabu Hekaya za abunuwasi kwa sauti kipo tayari ndani ya app ya maktaba sauti.
Your browser is not able to display this video.
 
Ingizo namba 106 ndani ya app ya Maktaba Sauti. App ipo playstore. Kusoma kwa sasa ni BURE. Utalipia ukitaka kusikiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…