Somali Bantus walikataliwa Somalia, UN waliomba warudishwe kwao Tanzania

Somali Bantus walikataliwa Somalia, UN waliomba warudishwe kwao Tanzania

Kwa sababu waarabu walikuwa wanawanunua na kwenda kuwatesa kuwalawiti,ofcouse we sio muarabu sikutuhumu(ukome kujifanya muarabu)
Kwa hiyo unatuambia babu yako alilawitiwa na Waarabu?

Makubw ahayo, wewe mwenyewe umesalimika?
 
Kwa hiyo unatuambia babu yako alilawitiwa na Waatrabu?

Makubw ahayo, wewe mwenyewe umesalimika?
Sijasalimika ila ilikuwa kwa mbinde sana,tena ww ulivyo na shobo na uarabu kwenu punga hakosekani ,nasisitiza dada faiza wewe ni muislamu safi ila sio muarabu hara kidogo,narudia kwa sauti ya ukali kabla saidi hajafyatua risasi ... FAIZA SIO MUARABU HATA TONE..
 
Kwa hiyo unatuambia babu yako alilawitiwa na Waatrabu?

Makubw ahayo, wewe mwenyewe umesalimika?
Waatrabu unajua sio waarabu walionikula na mababu zangu ,kama wewe usivyo muarabu ni labda muatrabu au muha au mbena ,unarafudhi ya kibena sana
 
Sijasalimika ila ilikuwa kwa mbinde sana,tena ww ulivyo na shobo na uarabu kwenu punga hakosekani ,nasisitiza dada faiza wewe ni muislamu safi ila sio muarabu hara kidogo,narudia kwa sauti ya ukali kabla saidi hajafyatua risasi ... FAIZA SIO MUARABU HATA TONE..
Nimehisi kuwa na wewe hawajakuacha ndiyo maana wapo midomini.

Wewe una ustaarabu? Au huna ustaarabu?

Hapo sasa!
 
Kwa sababu waarabu walikuwa wanawanunua na kwenda kuwatesa kuwalawiti,ofcouse we sio muarabu sikutuhumu(ukome kujifanya muarabu)
Hivi merikebu ya kwanza kupeleka watumwa Amerika iliitwaje vile?
 
Hivi kwenye karne ya 20 kulikuwa na utumwa huku Afrika? Au unatulisha matango mwitu bwana mkubwa?
Karne ya 20 ni mwaka 1900 + so nchi nyingi za Africa uhuru ni kuanzia 1960's

Probably utumwa ulikuwepo kwa njia moja au nyingine

Achana na abolishen of slave trade
 
Somalia kuna Wabantu ambao walifika huko wengi kwa Utumwa, maisha yao yalikuwa magumu kuanzia mwanzo Wasomali hawakuwahi kuwakubali na wamekataliwa kata kata na Msomali yoyote aliyejaribu ku-intermarry na Mbantu alitengwa na jamii ya Wasomali.

Hali ilikuwa mbaya kwa Wabantu Somalia hadi UN iliwaombea hifadhi Tanzania wakarudishwa Mkoani Tanga wengi tu wengine walipewa hifadhi USA.

Kwa mujibu wa UN hawa Wabantu wa Somalia walichukuliwa kama Watumwa karne ya 20 na walitokea jamii ya Wazigua, Wazaramo, Wayao, Wamakua pamoja na wengine, fikiria miaka yote hiyo lkn bado hawakubaliki nchini Somalia, …

=======

Somali Bantus gain Tanzanian citizenship in their ancestral land​

History has come full circle for refugee descendants of slaves who have received a fresh start in their ancestral homeland of Tanzania.


In Somalia, Bantu children were denied education for decades, but this Somali Bantu boy, a new Tanzanian citizen, attends school in Chogo settlement in northeastern Tanzania. [emoji2398] UNHCR/B.Bannon

CHOGO, Tanzania, June 3 (UNHCR) - Some 300 years after their ancestors were taken from here to be sold as slaves, almost 1,300 Somali Bantu refugees are now full citizens of Tanzania.

A further 1,500 refugees in Chogo settlement, in the north-eastern coastal region of Tanga, are still in the process of getting naturalized.

Working and living alongside the local population, many of the Somali Bantu refugees and new citizens can trace their origins to this area of the country, from where their ancestors were transported as slaves. The refugees returned in the early 1990s fleeing civil war and the collapse of Siad Barre’s regime in Somalia.

Back then, tens of thousands of Somalis travelled on overcrowded and rickety dhows to the Kenyan harbour of Mombasa. A small group of refugees of Bantu origin made their way even further south, to Tanga, reversing the path their ancestors had taken more than three centuries ago.

Ramadhani Abdalah, a Tanzanian Zigua farmer, remembers very well the day the refugees arrived in Tanga.

“I heard about refugees before, but when they came, it was my first time to actually see a refugee,” he now recalls. “I was so surprised. They were talking in the same language as I do, Zigua, but they came from Somalia.”

Ramadhani lives in one of the neighbouring villages of Chogo settlement where he prepares land for planting. He is hired by a former Somali Bantu farmer and is paid 12,000 Tanzanian shillings (about US$9) for each acre of land he clears.

At first the government of Tanzania, with assistance from UNHCR, hosted the Somali refugees in Mkuyu camp, also in Tanga region. In March 2003, more than 3,000 refugees were transferred from there to Chogo, a newly-constructed settlement some 80 kilometres away, in a move towards naturalizing the Somali Bantus who wished to stay.

Upon arrival in Chogo, each refugee family received more than 2.5 acres (about one hectare) of land, to farm and to build a home. With the help of UNHCR, working with the Tanzanian authorities and the Tanzanian non-governmental organization, Relief to Development Society, a school, health centre and market were constructed.

Since 2005, the new citizens and the 1,500 refugees awaiting citizenship have been supporting themselves and living together with the surrounding communities.

Haji Sefu Ali, one of the elders in Chogo, proudly shows off his farm. “In Chogo, we have named the villages after places in Somalia,” he says. “We are tilling land, raising cattle and chicken and are taking care of ourselves.”

Life has been a struggle, adds Fatouma, his neighbour and a grandmother of three, but “today, we are citizens of Tanzania. My granddaughters could even become president one day. In Somalia, for a Bantu, that would not be possible.”

By Brendan Bannon and Eveline Wolfcarius in Chogo, Tanzania

Source:
United Nations High Commissioner for Refugees.


R i p mzee Haji Sefu Ali, one of the elders in Chogo, proudly shows off his farm. “In Chogo, we have named the villages after places in Somalia,” he says. “We are tilling land, raising cattle and chicken and are taking care of ourselves.”


Chogo kwetu
 
R i p mzee Haji Sefu Ali, one of the elders in Chogo, proudly shows off his farm. “In Chogo, we have named the villages after places in Somalia,” he says. “We are tilling land, raising cattle and chicken and are taking care of ourselves.”


Chogo kwetu
Kwa maana hiyo unamaanisha hata Wabantu waliokuja Mashariki ya Afrika yote walikuja kwa utumwa? Maana Wabantu Afrika Mashariki siyo asili yao kihistoria.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kuhusu kubaguana wasomali wanabaguana sana kiukoo na kuna koo wanawake wao hawaolewi.
Wengi walitumia fursa ya vita kudai asylum Marekani na Ulaya na sababu rahisi ni kudai ubaguzi.Afadhali ya hata wao wanaoana na wasomali wasio wabantu.
Kuna wasomali wana ukoo unaitwa midgan hawaolewi na wanabaguliwa haswa.Na hao sio wabantu.
Hata vita vya wenyewe kwa wenyewe ni muendelezo wa kubaguana ki ukoo ingawa wote wanafanana kimuonekano , lugha moja ingawa ina lahaja tofauti.
Mkuu! Nakufuatilia kwa umakini sana.
 
Kumbe wewe kibibi Kijakazi ni kizee fulani kina kinasumbuliwa na inferiority complex
Mada zako humu ni za kishenzishezi, nakufuatilia kuanzia sas na utakula za uso kila nikikutana na mada zako za kishenzi
 
yaani wasomali wanatubagua huko kwao wakati sisi tunawapokea na kuishi nao vizuri.
 
Somalia kuna Wabantu ambao walifika huko wengi kwa Utumwa, maisha yao yalikuwa magumu kuanzia mwanzo Wasomali hawakuwahi kuwakubali na wamekataliwa kata kata na Msomali yoyote aliyejaribu ku-intermarry na Mbantu alitengwa na jamii ya Wasomali.
Duh..
Wote ni waafrika na pia ni wa dini moja, lakini wanabaguliwa kama wanyama!!!
 
Hakuna biashara ya utumwa iliyofanyika kwa wabantu waliohamia Somalia. Walinunuliwa na nani?

Somalia ina wakazi wengi wenye asili ya kibajuni,wamarca na,mchanganyiko wa wasomali na wareno wanaitwa (Gibilcad).

Kama mtu huna uhakika na unachokiandika bora uulize.
Jimbo la Shabelle Hose mdio makazi ya wabantu wengi wao waliohama kutoka Uzigua na wengine kutoka Lindi na Mtwara.
Mpaka sasa jimbo hilo lina wakazi hao wengi na wanaishi kama wasomali wengine.
Acha ubishi wa kijinga.
Kuna rejea nyingi zinazothibitisha kuwa hao Somali Bantus walipelekwa huko Somalia kama watumwa karne 3 zilizopita.
Kama wewe unakataa leta reference za ku prove unachosema, siyo porojo za uongo za vijiweni..
 
Ni kweli hao wasomali walikuja tz na walikaa sana uziguani,na walipoindoka kwao kurudi somali waliondoka na wake zao wa kizigua
Huko

Ova
 
Back
Top Bottom