Somalia imekuwa mwanachama Rasmi wa Jumuaiya ya Afrika Mashariki

Wewe unaona vita na ugaidi. Wenzako wanaona fursa za ajira na biashara.
Yote ni mitizamo tuu…

Ndugu zangu Watanzania tuamke…
 
Kuna manufaa makubwa angalia sasa congo ilivoingia wanachama na mizozo inaenda kuisha bado somalia kumaliza kazi.
 
Ni kambo zuri
 
Huko level zao zinakaribiana na wameendelea huwezi kuapply huku kwetu kwa sasa tutaumizana bure..
 
Wewe unaona vita na ugaidi. Wenzako wanaona fursa za ajira na biashara.
Yote ni mitizamo tuu…

Ndugu zangu Watanzania tuamke…
Tunaamkaje kwenye mazingira yasiyo na Utawala Bora?

Wachache wanajimilikisha rasilimali za nchi halafu sheria zinazotungwa zinaweka vikwazo vikubwa kwa mwananchi kushiriki kikamilifu maendeleo ya nchi yake......

Tujisahihishe, tusione gharama kuanza upya kwa sababu haiepukiki
 
acheni kulinganisha Jumuiya ya Ulaya na Jumuiya za Africa.

Waafrika tunahitaji miaka 100 ya maendeleo ndio tuanze kufikiria miungano ya kisiasa na kiuchumi

Somali, South Sudan, Congo, Rwanda na Burundi zote hizi ziko kwenye vita, muda wa kutekeleza sera za pamoja watatoa wapi,

Uganda pia sio stable sana
 
Naunga mkono Hoja.
Nasikia na wao wameomba kujiunga. Hivi Sychelles na Mauritius wao hawako upande huu wa Afrika mashariki. Natamani sana na wao wangeomba kujiunga na EAC, zile inchi ziko poa sana upande wa uchumi, GDP ya nchi NA PER GDP
 
Hongera kwao.Karibu sana Ethiopia na Djibouti
 
Kuna manufaa makubwa angalia sasa congo ilivoingia wanachama na mizozo inaenda kuisha bado somalia kumaliza kazi.
Yes mizozo itapungua, lakini ikija kurudi itarudi kwa kishindo kikubwa, tunaenda kurithishana migogoro ndani ya jumuiya na hata nchi ambazo hazijazoea migogoro, itakuja kuona migogoro ni jambo la kawaida
 
Kazi ya jumuiya ya ukweli ni kudumisha amani, kuongeka soko, nafasi za ajira, kuongeza mchanganyikano kiasi kwamba mkipigana vita wote mnaumia.

Hapa wanajumuiya hawaelewani wala kusikilizana. DRC na Rwanda, Burundi na Rwanda. Somalia South Sudan hakuna uhakika wa Amani.

Tumebakiza Ethiopia, Eritrea, Djibouti, Sudan kujiunga tukamilishe mchakato.
 
Karibuni sana somalia ,pia tunawakarisha ndugu zetu sudan ya omar albashir, comoro ya Ghazaali Othmaan, pia Afrika ya kati na misri, karibuni sana.
 
Nasikia na wao wameomba kujiunga. Hivi Sychelles na Mauritius wao hawako upande huu wa Afrika mashariki. Natamani sana na wao wangeomba kujiunga na EAC, zile inchi ziko poa sana upande wa uchumi, GDP ya nchi NA PER GDP
Mimi ni Muumini wa AU Muungano wa Afrika. AFRIKA MOKO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…