Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaona vita na ugaidi. Wenzako wanaona fursa za ajira na biashara.Tusiigeuze Jumuiya yetu kuwa kificho cha vita za wenyewe kwa wenyewe. Tunaona namna ambavyo nchi wanachama DRC na Rwanda zinavyotaka kuingiza mataifa wanachama vitani.
Sharti kuu liwe ni amani na maridhiano ya kila taifa mwanachama. Tusiharakie kuungana wakati hatuna umoja, mshikamano na utawala bora kwenye nchi zetu
Ni kambo zuri
DIPLOMASIA: Nchi ya Somalia imekuwa Mwanachama kamili wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) baada ya kukamilisha hatua zote zilizohitajika ili kuweza kupata ridhaa ya kujiunga na jumuiya hiyo
Sekretarieti ya EAC imechapisha taarifa inayoonesha Ujumbe wa Somalia ukikabidhiwa Hati yake ya Kuidhinishwa kutoka kwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ikiwa ni utekelezaji wa Mkaubaliano yaliyoafikiwa Novemba 2023 na Wakuu wa nchi nyingine za EAC
Somalia inakuwa mwanachama wa nane wa EAC baada ya Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kenya, Sudan Kusini, Tanzania, Rwanda na Uganda.
==============
Somalia has become a full member of the East African Community (EAC) after completing all the steps required to gain complete membership of the regional bloc.
The EAC secretariat on Monday shared on X, formerly Twitter, that Somalia had gained full membership "after depositing her Instrument of Ratification with the Secretary General" of the bloc.
The instrument of ratification is a formal document issued by a country, in which it agrees to be bound by a treaty.
Last November, the heads of state of the other EAC member states agreed to admit Somalia into the bloc.
Somalia becomes the eighth member of the EAC after Burundi, the Democratic Republic of Congo, Kenya, South Sudan, Tanzania, Rwanda and Uganda.
The move is intended to boost economic growth in the country, which is still recovering from three decades of war.
Huko level zao zinakaribiana na wameendelea huwezi kuapply huku kwetu kwa sasa tutaumizana bure..Hii jumuiya haina maana yoyote ni siasa tu na kupotezeana muda. Imekuwa ni jumuiya ya watawala huku wananchi wakibaki watazamaji.
Kiukweli jumuiya ya ukweli ni ile ya Ulaya ambayo wananchi wa mataifa wanachama wako huru kutembelea nchi yoyote bila viza na kufanya kazi katika nchi yoyote mwanachama bila vikwazo vyovyote.
Lakini hii jumuiya ya kiswahili mara mataifa wanachama eti wanataka kupigana vita hata raia wa nchi moja kufanya kazi katika nchi nyingine ni shida, mara wawekeane vikwazo vya biashara. Jumuiya gani hii feki kabisa.
Tunaamkaje kwenye mazingira yasiyo na Utawala Bora?Wewe unaona vita na ugaidi. Wenzako wanaona fursa za ajira na biashara.
Yote ni mitizamo tuu…
Ndugu zangu Watanzania tuamke…
acheni kulinganisha Jumuiya ya Ulaya na Jumuiya za Africa.Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, sasa wanachama wa Jumuiya ya Umoja wa Afrika Mashariki idadi yao inakuwa inchi 8. Jumuiya inazidi kukua.
Kama tungekuwa na hela moja ya Afrika Mashariki ingekuwa poa sana.
Je nini maoni yako juu ya kukuwa kwa Jumuiya yetu ?!
Kaka zao utaweza kuishi nao?ni atua njema
mabinti wa kisomali waje kuchanganye mbegu sasa
Kila la kheri kwao,tuwasaidie kutokomeza ugaidi
Nasikia na wao wameomba kujiunga. Hivi Sychelles na Mauritius wao hawako upande huu wa Afrika mashariki. Natamani sana na wao wangeomba kujiunga na EAC, zile inchi ziko poa sana upande wa uchumi, GDP ya nchi NA PER GDPNaunga mkono Hoja.
Hongera kwao.Karibu sana Ethiopia na Djibouti
DIPLOMASIA: Nchi ya Somalia imekuwa Mwanachama kamili wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) baada ya kukamilisha hatua zote zilizohitajika ili kuweza kupata ridhaa ya kujiunga na jumuiya hiyo
Sekretarieti ya EAC imechapisha taarifa inayoonesha Ujumbe wa Somalia ukikabidhiwa Hati yake ya Kuidhinishwa kutoka kwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ikiwa ni utekelezaji wa Mkaubaliano yaliyoafikiwa Novemba 2023 na Wakuu wa nchi nyingine za EAC
Somalia inakuwa mwanachama wa nane wa EAC baada ya Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kenya, Sudan Kusini, Tanzania, Rwanda na Uganda.
==============
Somalia has become a full member of the East African Community (EAC) after completing all the steps required to gain complete membership of the regional bloc.
The EAC secretariat on Monday shared on X, formerly Twitter, that Somalia had gained full membership "after depositing her Instrument of Ratification with the Secretary General" of the bloc.
The instrument of ratification is a formal document issued by a country, in which it agrees to be bound by a treaty.
Last November, the heads of state of the other EAC member states agreed to admit Somalia into the bloc.
Somalia becomes the eighth member of the EAC after Burundi, the Democratic Republic of Congo, Kenya, South Sudan, Tanzania, Rwanda and Uganda.
The move is intended to boost economic growth in the country, which is still recovering from three decades of war.
Yes mizozo itapungua, lakini ikija kurudi itarudi kwa kishindo kikubwa, tunaenda kurithishana migogoro ndani ya jumuiya na hata nchi ambazo hazijazoea migogoro, itakuja kuona migogoro ni jambo la kawaidaKuna manufaa makubwa angalia sasa congo ilivoingia wanachama na mizozo inaenda kuisha bado somalia kumaliza kazi.
Hii imekaa poa sanaNawaza Rwanda ingekuwa mkoa miongoni mwa mikoa ya TZ Bara.
Hii jumuiya haina maana yoyote ni siasa tu na kupotezeana muda. Imekuwa ni jumuiya ya watawala huku wananchi wakibaki watazamaji.
Kiukweli jumuiya ya ukweli ni ile ya Ulaya ambayo wananchi wa mataifa wanachama wako huru kutembelea nchi yoyote bila viza na kufanya kazi katika nchi yoyote mwanachama bila vikwazo vyovyote.
Lakini hii jumuiya ya kiswahili mara mataifa wanachama eti wanataka kupigana vita hata raia wa nchi moja kufanya kazi katika nchi nyingine ni shida, mara wawekeane vikwazo vya biashara. Jumuiya gani hii feki kabisa.
Bilashaka hiyo pesa inayoitwa SHERAFA haipo,na waziri wa mambo ya nje ndugu Makamba,alikanusha.Pitia tweets zake.Imekubali kutumia SHERAFA ?🐼
DIPLOMASIA: Nchi ya Somalia imekuwa Mwanachama kamili wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) baada ya kukamilisha hatua zote zilizohitajika ili kuweza kupata ridhaa ya kujiunga na jumuiya hiyo
Sekretarieti ya EAC imechapisha taarifa inayoonesha Ujumbe wa Somalia ukikabidhiwa Hati yake ya Kuidhinishwa kutoka kwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ikiwa ni utekelezaji wa Mkaubaliano yaliyoafikiwa Novemba 2023 na Wakuu wa nchi nyingine za EAC
Somalia inakuwa mwanachama wa nane wa EAC baada ya Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kenya, Sudan Kusini, Tanzania, Rwanda na Uganda.
==============
Somalia has become a full member of the East African Community (EAC) after completing all the steps required to gain complete membership of the regional bloc.
The EAC secretariat on Monday shared on X, formerly Twitter, that Somalia had gained full membership "after depositing her Instrument of Ratification with the Secretary General" of the bloc.
The instrument of ratification is a formal document issued by a country, in which it agrees to be bound by a treaty.
Last November, the heads of state of the other EAC member states agreed to admit Somalia into the bloc.
Somalia becomes the eighth member of the EAC after Burundi, the Democratic Republic of Congo, Kenya, South Sudan, Tanzania, Rwanda and Uganda.
The move is intended to boost economic growth in the country, which is still recovering from three decades of war.
Mimi ni Muumini wa AU Muungano wa Afrika. AFRIKA MOKO.Nasikia na wao wameomba kujiunga. Hivi Sychelles na Mauritius wao hawako upande huu wa Afrika mashariki. Natamani sana na wao wangeomba kujiunga na EAC, zile inchi ziko poa sana upande wa uchumi, GDP ya nchi NA PER GDP