Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
- Thread starter
- #81
ustarabu wao nn ?? unajua ndo wabaguz africa nzmambona hujaenda huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ustarabu wao nn ?? unajua ndo wabaguz africa nzmambona hujaenda huko
yemeni kwa kiasi kikubwa ni mpasuko ndani ikifuatiwa na kuingiliwa na mataifa kama Saudi arabia,iran na UAEVipi kuhusu Yemen?
Huijuwi Somalia wewe, unasikia maneno ya wanaokujaza ujinga.
Wasomali walikuwa wanaikimbia nchi yao wakati walipokuwa wanachochewa kwa vita za wenyewe kwa wenyewe.
Sasa hivi waliokwenda ukimbizi wengi wanarudi, tazama kinachoendelea huko:
View: https://youtu.be/tNEdPZCfxOs?si=iw0JDt3lJSyA4Z8B
Shida ya Yemen ni Muungano. Yani Yemen ya Kusini iliungana na Yemen ya Kaskazini na kuwa na Yemen moja mwaka 1990, ndio maana Sasa hivi wamebaki kupigana tu.Vipi kuhusu Yemen?
Unaongelea Kenya umeisahau Tanzania? Mbona Dar wamejaa. Bashara zao kibao, tena hawa naongelea si wazawa wa Tanzania.We ninja ebu tulia
Wamejaa kenya hapo kwene kambi ya kakuma kama kwao kuko vizuri wangerudi,,,,
Nchi kuonesha dalili ya kutulia tu unakuja kupwayuka hapa na propaganda za aljazeera😂😂😂
Somalia hawakimbii tu vita wanakimbia njaa, ukame na magonjwa.
Wasomali ni sehemu ya tanzania gan? hata katika makabila 100 na kitu hawamo!Unaongelea Kenya umeisahau Tanzania? Mbona Dar wamejaa. Bashara zao kibao, tena hawa naongelea si wazawa wa Tanzania.
Tanga ndiyo nusu ya wazigua wote ni Wasomali.
Labda huelewi kuwa Wasomali ni "part and parcel" ya Zenjbar.
Kuwashangaa Wasomali kuwepo kenya wakati Kaskazini ya kenya yote ni wao na yao, ni ujuha huo.
Soma kijana.
Wanachopigania si muuangano walaShida ya Yemen ni Muungano. Yani Yemen ya Kusini iliungana na Yemen ya Kaskazini na kuwa na Yemen moja mwaka 1990, ndio maana Sasa hivi wamebaki kupigana tu.
Rais wa sasa wa Somalia alidai katika ufunguzi wa barabara ya East Africa corridor kuwa namna Tanzania inavyo handle vitu na uongozi wake East Africa ndio ushawishi mkubwa wa Somalia kujiunga East Africa Community.nieleweshe Tanzanoa imemshawishi kujiunga na EAC ??
Hamna mkuu makabila wao wanaita koo,Yani Hawiye,darood,Dir na Ishaaq hizo koo ndio kabila kwao.Wasomali wote ni kabila moja.
Nchi nyingi zilizoshindwa au failed state huwa zina changamoto kama
1. Ukabila au jamii tofauti zinazopigana
2.Dini (vita ya kidini kati ya Waislam na dini zingine kama Ukristu, Uhindu na Uyahudi)
3. Kuvamiwa na nchi nyingine yenye nguvu mfano Afghastan ilivamiwa mara mbili na soviet na US
LAKINI KWA SOMALIA
ITOSHE KUSEMA WASOMALI HAWACHUKII WATU WENGINE KAMA WABANTU NA WENGINEO.
- Watu wana dini moja
- Kabila moja
- Nchi moja
- Tamaduni moja
Wasomali wanajichukia WENYEWE
Ukiwakuta kenya wanavopiga kelele sasa😂😂
Huijuwi Somalia wewe, unasikia maneno ya wanaokujaza ujinga.
Wasomali walikuwa wanaikimbia nchi yao wakati walipokuwa wanachochewa kwa vita za wenyewe kwa wenyewe.
Sasa hivi waliokwenda ukimbizi wengi wanarudi, tazama kinachoendelea huko:
View: https://youtu.be/tNEdPZCfxOs?si=iw0JDt3lJSyA4Z8B
Na safari yao ndefu lakini sisi tunaojiona tumefika, hatuwapati.Somalia bado ina safari ndefu madam kimaendeleo.
Na still bado raia wanaikimbia hiyo nchi hadi leo.
Mipakani huko zinakamatwa Roli zineshonana wasomali ndani pamoja na waethiopia.
Mpaka sasa bado mapigano ya kikabila yanawaandama.
Wakiacha ukabila wataendelea ila wakiendekeza ukabila kamwe hawatakaa waendelee ama wawe na amani.
hata buguruni malapa ukipiga picha usiku ni pazuri zaid ya hapaSomalia ni UKABILA PEKEE ndio unawamaliza.
Hata hao alshabaab hawajakaa kwa mlengwa wa dini bali mlengwa wa kikabila kwaajili ya kugombania madaraka.
Wakiacha ukabila wataendelea sana.
Ukabila ndio chanzo cha Somalia kukatika na kutokea na Somaliland yenye capital city Hargeisa.
Na Somaliland imeendelea vibaya mno kiuchumi na kijamii.
Kama Somaliland wanaweza na wameweza kuacha ukabila na kuendelea basi Somalia inapaswa ifuate.View attachment 3056887
vipi haiti ambayo hata haieleweki nani kiongozi ka nchi kenyewe kadogo tuNchi nyingi zilizoshindwa au failed state huwa zina changamoto kama
1. Ukabila au jamii tofauti zinazopigana
2.Dini (vita ya kidini kati ya Waislam na dini zingine kama Ukristu, Uhindu na Uyahudi)
3. Kuvamiwa na nchi nyingine yenye nguvu mfano Afghastan ilivamiwa mara mbili na soviet na US
LAKINI KWA SOMALIA
ITOSHE KUSEMA WASOMALI HAWACHUKII WATU WENGINE KAMA WABANTU NA WENGINEO.
- Watu wana dini moja
- Kabila moja
- Nchi moja
- Tamaduni moja
Wasomali wanajichukia WENYEWE
Ukiwakuta kenya wanavopiga kelele sasa😂😂
Duwh waache kupigwa vita bahrain au Qatar wao wanapigwa vita sababu ya ugaid wa uharamia wasomali wamejazana huku states na wengine ni maseneta nitajie nchi ya kiislamu ambazo wasomali ni wabunge halafu nikuletee nchi zisizo za kiislamu ambazo wamba ni wabunge, mawaziri nkNa safari yao ndefu lakini sisi tunaojiona tumefika, hatuwapati.
Somalia wanapigwa vita na nchi za nje, wanaogopwa kwa Uislam wao.
Binafsi siifahamu nchi ya Kisslam wala Kikristo.Duwh waache kupigwa vita bahrain au Qatar wao wanapigwa vita sababu ya ugaid wa uharamia wasomali wamejazana huku states na wengine ni maseneta nitajie nchi ya kiislamu ambazo wasomali ni wabunge halafu nikuletee nchi zisizo za kiislamu ambazo wamba ni wabunge, mawaziri nk
nani kasema ya kikristo? nimesema nchi zisizo kiislamu na nchi za kiislamuBinafsi siifahamu nchi ya Kisslam wala Kikristo.
Nani alikudanganya USA ni nchi ya Kikristo?
Hakuna nchi isiyo ya Kiislam, hamtaki kuukubali ukweli tu.nani kasema ya kikristo? nimesema nchi zisizo kiislamu na nchi za kiislamu
kila kitu ni udini tu hii inferiority complex of highest order