Somalia ndiyo nchi pekee duniani ambayo ni 'failed state'

Huijuwi Somalia wewe, unasikia maneno ya wanaokujaza ujinga.

Wasomali walikuwa wanaikimbia nchi yao wakati walipokuwa wanachochewa kwa vita za wenyewe kwa wenyewe.

Sasa hivi waliokwenda ukimbizi wengi wanarudi, tazama kinachoendelea huko:

View: https://youtu.be/tNEdPZCfxOs?si=iw0JDt3lJSyA4Z8B

We ninja ebu tulia
Wamejaa kenya hapo kwene kambi ya kakuma kama kwao kuko vizuri wangerudi,,,,
Nchi kuonesha dalili ya kutulia tu unakuja kupwayuka hapa na propaganda za aljazeera😂😂😂
Somalia hawakimbii tu vita wanakimbia njaa, ukame na magonjwa.
 
Unaongelea Kenya umeisahau Tanzania? Mbona Dar wamejaa. Bashara zao kibao, tena hawa naongelea si wazawa wa Tanzania.

Tanga ndiyo nusu ya wazigua wote ni Wasomali.

Labda huelewi kuwa Wasomali ni "part and parcel" ya Zenjbar.

Kuwashangaa Wasomali kuwepo kenya wakati Kaskazini ya kenya yote ni wao na yao, ni ujuha huo.

Soma kijana.
 
Wasomali ni sehemu ya tanzania gan? hata katika makabila 100 na kitu hawamo!
usilazimishe vitu ww bibi
 
nieleweshe Tanzanoa imemshawishi kujiunga na EAC ??
Rais wa sasa wa Somalia alidai katika ufunguzi wa barabara ya East Africa corridor kuwa namna Tanzania inavyo handle vitu na uongozi wake East Africa ndio ushawishi mkubwa wa Somalia kujiunga East Africa Community.
Na walilalamika wakidai ni miaka zaidi ya 20 wamekua wakituma maombi ya kujiunga ila hawajibiwi bali wanaitwa kama waalikwa tu.
 
Nchi nyingi zilizoshindwa au failed state huwa zina changamoto kama

1. Ukabila au jamii tofauti zinazopigana

2.Dini (vita ya kidini kati ya Waislam na dini zingine kama Ukristu, Uhindu na Uyahudi)

3. Kuvamiwa na nchi nyingine yenye nguvu mfano Afghastan ilivamiwa mara mbili na soviet na US

LAKINI KWA SOMALIA
  • Watu wana dini moja
  • Kabila moja
  • Nchi moja
  • Tamaduni moja
ITOSHE KUSEMA WASOMALI HAWACHUKII WATU WENGINE KAMA WABANTU NA WENGINEO.

Wasomali wanajichukia WENYEWE

Ukiwakuta kenya wanavopiga kelele sasa😂😂

Kwani Tanzania ni vipi ??

Kamuulize Mbowe au Lissu atakuambia
 
Huijuwi Somalia wewe, unasikia maneno ya wanaokujaza ujinga.

Wasomali walikuwa wanaikimbia nchi yao wakati walipokuwa wanachochewa kwa vita za wenyewe kwa wenyewe.

Sasa hivi waliokwenda ukimbizi wengi wanarudi, tazama kinachoendelea huko:

View: https://youtu.be/tNEdPZCfxOs?si=iw0JDt3lJSyA4Z8B

Somalia bado ina safari ndefu madam kimaendeleo.
Na still bado raia wanaikimbia hiyo nchi hadi leo.
Mipakani huko zinakamatwa Roli zineshonana wasomali ndani pamoja na waethiopia.
Mpaka sasa bado mapigano ya kikabila yanawaandama.
Wakiacha ukabila wataendelea ila wakiendekeza ukabila kamwe hawatakaa waendelee ama wawe na amani.
 
Na safari yao ndefu lakini sisi tunaojiona tumefika, hatuwapati.

Somalia wanapigwa vita na nchi za nje, wanaogopwa kwa Uislam wao.
 
Somalia ni UKABILA PEKEE ndio unawamaliza.
Hata hao alshabaab hawajakaa kwa mlengwa wa dini bali mlengwa wa kikabila kwaajili ya kugombania madaraka.
Wakiacha ukabila wataendelea sana.
Ukabila ndio chanzo cha Somalia kukatika na kutokea na Somaliland yenye capital city Hargeisa.
Na Somaliland imeendelea vibaya mno kiuchumi na kijamii.
Kama Somaliland wanaweza na wameweza kuacha ukabila na kuendelea basi Somalia inapaswa ifuate.View attachment 3056887
hata buguruni malapa ukipiga picha usiku ni pazuri zaid ya hapa
 
Nchi nyingi zilizoshindwa au failed state huwa zina changamoto kama

1. Ukabila au jamii tofauti zinazopigana

2.Dini (vita ya kidini kati ya Waislam na dini zingine kama Ukristu, Uhindu na Uyahudi)

3. Kuvamiwa na nchi nyingine yenye nguvu mfano Afghastan ilivamiwa mara mbili na soviet na US

LAKINI KWA SOMALIA
  • Watu wana dini moja
  • Kabila moja
  • Nchi moja
  • Tamaduni moja
ITOSHE KUSEMA WASOMALI HAWACHUKII WATU WENGINE KAMA WABANTU NA WENGINEO.

Wasomali wanajichukia WENYEWE

Ukiwakuta kenya wanavopiga kelele sasa😂😂
vipi haiti ambayo hata haieleweki nani kiongozi ka nchi kenyewe kadogo tu
 
Na safari yao ndefu lakini sisi tunaojiona tumefika, hatuwapati.

Somalia wanapigwa vita na nchi za nje, wanaogopwa kwa Uislam wao.
Duwh waache kupigwa vita bahrain au Qatar wao wanapigwa vita sababu ya ugaid wa uharamia wasomali wamejazana huku states na wengine ni maseneta nitajie nchi ya kiislamu ambazo wasomali ni wabunge halafu nikuletee nchi zisizo za kiislamu ambazo wamba ni wabunge, mawaziri nk
 
Binafsi siifahamu nchi ya Kisslam wala Kikristo.

Nani alikudanganya USA ni nchi ya Kikristo?
 
nani kasema ya kikristo? nimesema nchi zisizo kiislamu na nchi za kiislamu
kila kitu ni udini tu hii inferiority complex of highest order
 
Hakuna nchi isiyo ya Kiislam, hamtaki kuukubali ukweli tu.

Unafahamu maana ya Uislam?

Kijana Uislam siyo "fashen" Uislam ni mfumo wa maisha wa kila kiumbe kilichopo duniani.
 
Mambo ya kupigana na kuuwana, kuna chembechembe za watu weupe dhidi yetu watu weusi

#kazi mbaya ukiwa nayo!
 
Back
Top Bottom