Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Gavana uwe unauliza maswali kwa kutumia akili ilipo ndani ya fuvu lako , hajapewa fuvu uwe unalipigiza tu sakafuni
Yesu ndie kristo
Na muislamu ni mtu asie kuwa na imani ame surrender kwa muhammad na Allah Yani ni slave of Allah
Hata nguzo ziliitwa kristo
Usijifanye kuku , Jibu swali
Tunaongea ukristo kama dini
Kwani Bwana yesu alikuwa mkristo ?? Alifundisha wapi Ukristo ?? Wapi aliwaambia wanafunzi wake wafuate dini ya Ukristo ??