Somalia wapiga marufuku Sambusa

Somalia wapiga marufuku Sambusa

Kama ni kweli,basi alshabab hawana akili.

Ila inanishangaza Sana nchi zenye asili ya uislamu kujitetea mno dhidi ya ukristo. Uislamu haupendi challenge kabisa. Hii mbona Ni inshu ndogo Sana,sambusa si ni wazo tu la binadamu kuifanya iwe pembe tatu? Si wabadilishe waweke hata pembe sita au hata pembe Mia. Mbona kwenye ambulance msalaba wakabadilisha wameweka mwezi na nyota kwenye hizo nchi zao za kiislamu?

Uslam una kitu kinachoitwa christophobia yani wanauogopa sana ukristo mana ukristo ukiingia katika jamii zao basi wengi watauacha uislam na misikiti kubaki magofu.
 
Hesabu Za maumbo kumbe husomeshwa kanisani?

Naona umeamua kujitoa akili,je hao alshababu hawana triangle kwenye magari yao ya toyota au ile alama ya hazard kwenye magari hawaitumi?

Hao jamaa itakua kiongozi wao alikula sambusa zikamkataa ndio wakaja na hoja aa kipuuzi mana wengi huwa hawana akili ni mazezeta wa dini
 
Mbona hiyo easy tu si wabadilishe shape tu? unatengeneza umbo la mstatili au bomba na jina mnaita mnalotaka nyie....kitu ni kile kile tu.
spring roll.png
 
Kama ni kweli,basi alshabab hawana akili.

Ila inanishangaza Sana nchi zenye asili ya uislamu kujitetea mno dhidi ya ukristo. Uislamu haupendi challenge kabisa. Hii mbona Ni inshu ndogo Sana,sambusa si ni wazo tu la binadamu kuifanya iwe pembe tatu? Si wabadilishe waweke hata pembe sita au hata pembe Mia. Mbona kwenye ambulance msalaba wakabadilisha wameweka mwezi na nyota kwenye hizo nchi zao za kiislamu?
Unazuia ukristo Kwa kupiga marufuku sambusa? Hii Imani shetani amehusika moja Kwa moja
 
Kama ni kweli,basi alshabab hawana akili.

Ila inanishangaza Sana nchi zenye asili ya uislamu kujitetea mno dhidi ya ukristo. Uislamu haupendi challenge kabisa. Hii mbona Ni inshu ndogo Sana,sambusa si ni wazo tu la binadamu kuifanya iwe pembe tatu? Si wabadilishe waweke hata pembe sita au hata pembe Mia. Mbona kwenye ambulance msalaba wakabadilisha wameweka mwezi na nyota kwenye hizo nchi zao za kiislamu?
Usipende kutuhumu uislamu kwa vitu visivyo na kichwa wala miguu, wapi kwenye uislamu kumekatazwa sambusa au kitu cha umbo la triangle? kuhusu challenge uislamu una majibu kwa challenges zote lakini uislamu ni mkubwa kuliko kupigania kuharamisha sambusa, mzituhumu akili za hao wasomali na sio uislamu.
 
Back
Top Bottom