Somalia yaanza kuwafukuza Wakenya!

It's OK kutokuwa na dini. Freedom from religion! You are free to follow the demands of your own conscience. Nobody will judge you .
 
Amazing!! Free thinkers, atheists and agnostics hu~prove the existence of God bila kujua.They criticize hermeneutic injudiciously yet they don't have any explanations za dunia ilivyoanza. Wengine huamini the big bang cosmology but ukweli ni kuwa even scientists wameshindwa kuprove and majority wanaamini kwamba Mungu yupo.
Wyatt matthewson respect religions za watu. Avoid sacrilege. Unaweza jipata pabaya brother or kizazi chako
 
Wasomali wa Somaliland hawana kwere na mtu yeyote kwanza Wakenya wamejaa Somaliland
View attachment 1031667
View attachment 1031668
Wenyewe Wanaiita Jamhuri Iliyobarikiwa ya Somaliland.

Somaliland ilikuwa chini ya utawala wa UK ndo maana kuna amani, ila Somalia kipande iliyotawaliwa na Italia ndo hakuna amani kabisa na msitegemee kuwa na amani kwani licha ni dini moja na dhehebu moja(Sunni)is home to Alshaabab, sea pirates, ISIS and AlQaida!!what a pity!Puntland was under French colony pia kuna amani!
 
Duh,kumbe nako huko kuna makampuni yanatoa lucrative contracts??
 
mkuu

imekuwaje watu wote dunia hii waamini kuna MUNGU,si wahindi si wabantu wote kwa pamoja tunaamini Mungu yupo haijalishi wewe ni budha,muislamu ama dhehebu lolote?

Becky mzuqa?

Watu wote si kweli!...Na kitu kikifanywa na watu wote hakifanyi hicho kitu kua kweli either!

Nakupa benefit of the doubt,kuna dini chungu nzima,Ukristoni tu kuna madhehebu 32,000.....Dini zingine ukijumlisha zote ni mamilioni ya dini,zote haziwekani zikawa za kweli!

Hivyo hoja ya dini inakufa kibudu hapo hapo!

in revolutionary terms,tupo hapa sababu baba zetu na babu zetu walikua better adapted to their environment..wakawa successful to pass their genes..
Yes ,I agree!

Ninachotaka kusema DINI ni adaptive,
Dini ni adoptive kama uwongo mwingine wowote duniani.

Ingekua dini ni absolute truth isingehitaji kua adoptive hata kidogo!

Ingesimama na kua relevant bila msaada wa chochote au kutetewa na yeyote!

imagine tusingekua na dini labda mababu zetu wangekua wauaji,majambazi,mala.ya na mambo mengine ambayo yako maladaptive
Uovu unafanyika today kwa higher rate zaidi na dini mnazo kwa higher rate zaidi!

Dini haina msaada wowote katika human behaviour ya kufanya mabaya....Cha ajabu mabaya mengi yamefanyika kwa jina la dini hizo hizo!

Cha ajabu dini zinatoa pumziko la moyo baada ya kutenda dhambi na ku-encourage uendelee kutenda maana unaambiwa utubu tu kwa maneno then moyo unatulia kesho yake ukifanya tena unatubu tu then unaendelea tena,hakuna real consequences!

Unachotaka kutuambia hapa,eti bila dini madhambi kama umalaya,uuaji,uajmbazi,etc yangekuwepo as if sasa hivi hayapo kwa higher rate zaidi!

yote haya matokeo yake yangesababisha ugumu wa wao kupass their genes...hivyo mimi na wewe tusingekuwepo hapa…..
Mama ku-pass genes kutoka kizazi kimoja kwenda kingine hakina uhusiano wowote na dini!

Ni pure biological survival instincts za wanyama wote na sio wanadamu tu..

Kuwe na dini kusiwe na dini,survival na kuzaliana ni innate kwa wanyama woteee!

Na elewa extinction level ipo kwa viumbe wote,na sisi tutakuja kua extinct just like other viumbe!

uko free leo hapo leo ni sababu kuna washika dini kibao,lol..imagine hapa hali ilivyo kuna maovu mengi hivyo,je kusingekua na dini?
Niko free sio sababu ya dini yoyote!

Cha ajabu dini ndio zinaongeza divisions zaidi dunia ya leo!

Muislamu anajiona bora kuliko wanadamu wengine wote walioko dini zingine,kama alivyo Mkristo anaejiona kwamba hakuna mwanadamu yeyote atakae okoka dunia hii bila kupitia kwa Kristo Yesu tuuu!

Dunia ya leo Uislamu unakwambia ni marufuku kuoa nje ya Uislamu,na Mkristo anasema ni marufuku kuoa nje ya Ukristo au aidha abadili dini awe Mkristo...

Unajiuliza,wanadamu wawili walio juu ya miaka 18 waliopendana kwa utashi wao,dini zao zinawaambia haitaki kuoa au kuolewa nje ya dini zao,sababu wanazotoa ni za kipumbavu za u-selfish na greedy ya kipumbavu kupita maelezo,ambapo conclusion ya mstaarabu yeyote mwenye kupenda ubinadamu atasema hawa mitume ni wapumbavu na wasio akili hata chembe!
 
Brother Matthew, I hope I am not wrong by thinking you were not in a state of sobriety when you wrote this.

Dada Jeni mzuka pande za Nyeri huko?

Hahahahahaa

Niko poa na I know it is so shocking to you people sababu mmekulia maisha ya hofu!

Mliambiwa dini au God cant be questioned which is a very stupid concept to begin with?

You are scared to be questioned,what'chu hiding Mr All Powerful Mr God?

God has to face criticism,ridicule,questions,etc like any other concept...

He has to stop running away!

And,one another thing,its funny this fabricated God cant even take a joke?

Namtukana yeye,cha ajabu wanadamu ndio mna-catch feelings,he so powerful muache ajitete yeye mwenyewe!
 

Jamii ya Wakenya waishio Somaliland wakiwa wanapiga kazi zao bila ya wasiwasi na ni wenye furaha
 
Jana Mogadisho Somalia wafagiaji wa barabara ambao ni Wasomali wabantu waliuwawa idadi yao ilikuwa ni watu tisa.
Ee!!..Mungu walaze mahala pema peponi.
 

mnhhh haya bana,

sidhani kama umenielewa,

sikulaumu,lols
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…